hii inawahusu wadada!

hii inawahusu wadada!

mimi haijawahi kunitokea ndiyo maana nikakurushia wewe uliyesema mtaendelea kucheat kwasababu waume zenu ni wabahili......kwanini usimuache mtu kama haendani na vigezo vyako ukamn'goa mtu mwenye kukidhi vigezo vyako kuliko kuwa mwizi mwizi.

........tunakoelekea sasa utakuja kuwa Baba Ushauri............
 
Ndo hivo Broo, Kama wewe unajijua huna pesa unachapa lapa, unawaachia wengine wenye kujua kutumia wakeshe na mimi, Haina Makombo Hii na Wala haiachi alama kuwa umepita.
Kazi yangu haihusiani na Mapenzi, Unanitaka mimi au unaitaka kazi yangu,
Ila Mwisho wa Siku kama Huna Hela Unalala Mbeleeeeeeeeeeeee.....................

Kumbe sisi vigagula tutakufa huku tunajiona duuh! Mapenzi pesa mwanawane halafu kidume sina kitu mgegedo kwa jirani.
 
no madame nafikiri tofauti so u mean bila mwanaume mwanamke hawezi ishi maisha mazuri??tuna mikono,tuna akili,tuna nguvu na tunaweze bila kuwezeshwa, tena pengine tunaweza zaidi yao.

WEWE utakuwa Mchagga
 
no madame nafikiri tofauti so u mean bila mwanaume mwanamke hawezi ishi maisha mazuri??tuna mikono,tuna akili,tuna nguvu na tunaweze bila kuwezeshwa, tena pengine tunaweza zaidi yao.

hapo umeniquote mimi Asakuta same ,hebu mquote vizuri Madame B kwani huu ujumbe unamuhusu yeye.
 
ninakubaliana na kusema mtu hajui mapenzi ,hajui kupetipeti.......hapo hata mimi nakubaliana na wewe kutupa kule kwasababu hapo hamna mapenzi tena, ila hiyo ishu ya ubahili kuwa ni reason tosha ya mwanamke kucheat .....hell! BIG NOOOOOO! hiki ni kisingizio tu

Weweeeeeee............... Ninayoandika ndo yale ninayoshuhudia,
Mimi ni Tomaso.
Sasa Broo kama mwanaume ni mbahili halafu ana wivu na huku hataki kuniacha, nimfanyaje...........!!!!!!!!!
Hapo inabidi utumie njia mbadala.
 
Kumbe sisi vigagula tutakufa huku tunajiona duuh! Mapenzi pesa mwanawane halafu kidume sina kitu mgegedo kwa jirani.

Ndo hapo sasa utakapoisoma namba kimya kimya............
 
........tunakoelekea sasa utakuja kuwa Baba Ushauri............

huwa mimi sishaurigi mtu kwenye haya mambo kila mtu anaenjoyment yake ,kisa nini sasa nianze kukubania starehe zako....mimi nilikuwa nakumbushia tu ile kauli yako ya.........
Kama mwanaume unaona mwanamke fulani Ham-match yanini Kujitutumua kuwa nae!!!!! mwisho utoke Vigimbi vya Uso bure.
ndiyo maana nikaliangalia hili katika muono wako.
 
Weweeeeeee............... Ninayoandika ndo yale ninayoshuhudia,
Mimi ni Tomaso.
Sasa Broo kama mwanaume ni mbahili halafu ana wivu na huku hataki kuniacha, nimfanyaje...........!!!!!!!!!
Hapo inabidi utumie njia mbadala.
hapo kwenye blue ndiyo umeua kabisa madame ,ama kweli mkiwezeshwa mnaweza aseeeh!
Mwanaume naona unatoka baruti kulikimbia swali.................

nop! its not mine wewe ndiyo ulitoa kauli hii..........
BINAFSI MIMI NIKO NA MPENZI WANGU KWA AJILI YA PESA, UNAFIKIRI NITAKULA NA KUVAA NINI
ndiyo nikasema kama ndiyo kuna wanawake wenye akili kama hii hapa duniani basi ni hasara hii ,inamaana huwezi kuvaa au kula vizuri bila kuwezeshwa na mpenzi wako?
 
huwa mimi sishaurigi mtu kwenye haya mambo kila mtu anaenjoyment yake ,kisa nini sasa nianze kukubania starehe zako....mimi nilikuwa nakumbushia tu ile kauli yako ya.........

ndiyo maana nikaliangalia hili katika muono wako.

Haya Baba, lala ukue.
 
hapo kwenye blue ndiyo umeua kabisa madame ,ama kweli mkiwezeshwa mnaweza aseeeh!

nop! its not mine wewe ndiyo ulitoa kauli hii..........

ndiyo nikasema kama ndiyo kuna wanawake wenye akili kama hii hapa duniani basi ni hasara hii ,inamaana huwezi kuvaa au kula vizuri bila kuwezeshwa na mpenzi wako?

Na Ndio maana nami nikakuuliza Swali, wakati aliponitongoza kwa Mara ya kwanza Alinikuta niko Uch.i au alinikuta Nimekondeana?????????
Kama majibu yako ni Hapana, basi jua kuwa naweza Kufanya hayo yote Pasi na Mwanaume.
 
Bado sijaupata mamito, ila kama ndo hii basi nimeupata.
no madame nafikiri tofauti so u mean bila mwanaume mwanamke hawezi ishi maisha mazuri??tuna mikono,tuna akili,tuna nguvu na tunaweze bila kuwezeshwa, tena pengine tunaweza zaidi yao.
 
thanx!of coz ur right sio mtu anasubiri mpaka aombwe wakati znamsumbua eti anapotezea!

eh sii ndio bidada mlivyo...wee unawaka moto huko chini sema bwana mie nataka unigegede uone kama ---- halijasimama ghafla
 
ni watamu if you know how to deal with them ,otherwise usipowaangalia mkuu wanakuwaga ni wachungu kuliko shubiri

kweli mwana...hawa kudeal nao ni kugegeda na kusepa ukijidai kupenda inakula kwako
 
Back
Top Bottom