hii inawahusu wadada!

hii inawahusu wadada!

joyness

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
235
Reaction score
120
jamani wadada tuache tabia mbaya ya kuwategea wapenzi wetu, kila kitu ufanyiwe we wa kusubiri tu!asilimia kubwa wako hivyo.
1.zawadi yeye ndo akupe
2.mawsiliano ye ndo awe wa kwanza kukutafuta bla hivo wewe waaaala hujigusi
3.kila kitu ufanyiwe wewe je utafanya lini?
hebu tubadilike basi!
 
We binti weweeee kisa namchuna kaka yako basi hasira ndo umeona uje uzimalizie huku? Embu acha hizo kabisa! Wanawake sote ni ndugu!!!!!!!
 
kumbe mimi nina bahati ,wakwangu anajituma kweli kweli....na yeye ndiyo kila siku anakuwa wakwanza kunitafuta........ooooooops! sorry mimi ni mbaba nimekuja tu kumtetea wa kwangu.
heri ya mwaka mpya lakini
We binti weweeee kisa namchuna kaka yako basi hasira ndo umeona uje uzimalizie huku? Embu acha hizo kabisa! Wanawake sote ni ndugu!!!!!!!
lol! mwanamke huishiwi? yaani hukosi cha kuandika.
happy new year
 
We binti weweeee kisa namchuna kaka yako basi hasira ndo umeona uje uzimalizie huku? Embu acha hizo kabisa! Wanawake sote ni ndugu!!!!!!!
hahaha!but msg sent and delivered
 
Naona Lara 1 na BADILI TABIA wameanza ngoja akisa suprise,nivea,evelyn salt & co waje hapa
 
kazi kweli kweli sio vibaya sana kama utatoa mara moja moja, NOTE: ila isiwe wewe ndo unamhonga afu anaenda kuhonga wengine.
 
jamani wadada tuache tabia mbaya ya kuwategea wapenzi wetu, kila kitu ufanyiwe we wa kusubiri tu!asilimia kubwa wako hivyo.
1.zawadi yeye ndo akupe
2.mawsiliano ye ndo awe wa kwanza kukutafuta bla hivo wewe waaaala hujigusi
3.kila kitu ufanyiwe wewe je utafanya lini?
hebu tubadilike basi!

Aiseeeeeeee joyness nimekupenda! Unafaa sana Kuwa wangun loh! Siyo mingi ya mijanamke inataka ifanyiwe kila kitu! Mwaaaaaaaaaaaa joyness! Happy new year 2013!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
jamani wadada tuache tabia mbaya ya kuwategea wapenzi wetu, kila kitu ufanyiwe we wa kusubiri tu!asilimia kubwa wako hivyo.
1.zawadi yeye ndo akupe
2.mawsiliano ye ndo awe wa kwanza kukutafuta bla hivo wewe waaaala hujigusi
3.kila kitu ufanyiwe wewe je utafanya lini?
hebu tubadilike basi!

Sorry joyness ingawa mimi me lakini nimependa comment yako. Wakati mwingine inaboa kweli...yaani utadhani ni kabiashara fulani.....
 
Last edited by a moderator:
bora mwakampya uanze hivi...
 
Tumeshaambiwa tuache kuwahonga wanaume zetu.
Sasa na yeye anitumie burebure!!!!!!!!!
Haiwezekani joyness
 
Last edited by a moderator:
hahaaa unamtafuta af unapima wind direction!
Ukijifanya wakwanza atazoea vibaya! Lol
zawadi inategemea,na mwelekeo wake!
Vyakufanya unajituma ila na mwelekeo muhimu kupima!
So kama anamwelekeo ad kope utamsafisha..otherwise joyness bravoooo
 
Last edited by a moderator:
Halafu nyie wadada huwa mnaniudhi sana...
Haswa nyie mnaopenda sana fedha na kujionesha kuliko kuonesha mapenzi ya dhati...
Mnavifanya hivyo vitobo vyenu mali sana eenh, kila anayetaka kupekecha nyie mwampa tu kisa ana hela...
Mnajidhalilisha tu, siachi kuwafananisha na KINU mtama mwatwanga, kisamvu mwatwanga, karanga mwatwanga....
Watu wazima hovyoooo, msione mwanaume ana pesa mshaanza mwandama kama nzi na kimba kichakani!!
.......Mtukome.......
 
ukisikia paaaaaaa!..........
 
hehehe, bahili hapendezi! Hajui mkono mtupu kulamba inaleta kinyaa.

si ndo hapo,.. Ila ujue visenti vya mawazo huwa vinaleta mawazo mara mbili. Lol!
Heri ya mwaka mpya mkwe wangu wa ukweli.
 
haahhahahahah happy new year mtani!!!!
Halafu nyie wadada huwa mnaniudhi sana...
Haswa nyie mnaopenda sana fedha na kujionesha kuliko kuonesha mapenzi ya dhati...
Mnavifanya hivyo vitobo vyenu mali sana eenh, kila anayetaka kupekecha nyie mwampa tu kisa ana hela...
Mnajidhalilisha tu, siachi kuwafananisha na KINU mtama mwatwanga, kisamvu mwatwanga, karanga mwatwanga....
Watu wazima hovyoooo, msione mwanaume ana pesa mshaanza mwandama kama nzi na kimba kichakani!!
.......Mtukome.......
 
si ndo hapo,.. Ila ujue visenti vya mawazo huwa vinaleta mawazo mara mbili. Lol!
Heri ya mwaka mpya mkwe wangu wa ukweli.
heri ya mwaka mupya my darling mkwe. Usisahau kumchuna mtalaka wako, manake na mie baba mkwe wako simuachii! Nyumba ndogo tunapiga vita kisiasa, bakisha mfupa wampite kama skeleton.
 
hehehe, bahili hapendezi! Hajui mkono mtupu kulamba inaleta kinyaa.

Halafu na wewe kama vile hujaelewa nilichokisema...!!!
Heri ya Mwaka Mpya, nilikusubiri sana Tanga tutumbue mshahara wa Desemba lakini hukutokea bahati hiyo ikamwangukia Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom