hii inawahusu wadada!

hii inawahusu wadada!

pesa za mawazo unahesabia mfukoni haihuu hata kidogo. Nilikuwa busy na Don Mangi, ana kadi za kila aina ni kuchanja tuuu. Weeh endeleza ubahili wakati rais wako keshasema uliwe ndo ukule.

Come here sweetheart an give Don a big hug. . .uko wapi? Nakwambia week end twende zetu hapo shelisheli na chatered plane dola 500 tu. . .!
Im givin u an offer any woman can't refuse. . .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom