Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,578
kazi huna? alaaaah...chapa ilale mpaka ngoma itambae hiyooo..kama unataka hela za matumizi date na saccos, au bank...we wa wap....bhanaaaa.......
Ndo hivo Broo, Kama wewe unajijua huna pesa unachapa lapa, unawaachia wengine wenye kujua kutumia wakeshe na mimi, Haina Makombo Hii na Wala haiachi alama kuwa umepita.
Kazi yangu haihusiani na Mapenzi, Unanitaka mimi au unaitaka kazi yangu,
Ila Mwisho wa Siku kama Huna Hela Unalala Mbeleeeeeeeeeeeee.....................