Hii inapendeza sana kwa wapenzi

Ujue kunashida kubwa. Wanaume wanapenda sehumu tulivu. Sehemu ambayo akirudi nyumbani anasikilizwa. Madada zetu pengine wana aply principles za kwenye vitabu kwenye familia. Wengi hawapendi kuwa natural. Wengi wamekuwa after cash. Now days no woman will go for Brooke man
 
Ikitokea Tanzania hii kesho itasikia MWANAUME GANI WEWE SURUALI TU mh!
 
Naamini barack obama anasema hivyo kwa kuwa michelle alimpenda obama akiwa no body 25 yrs ago..

Sasa ukija hapa kwetu..mwanamke anawaza uwe na vitu 4 tuu ...
kazi,
gari,
kiwanja
na nyumba !

Bado anakuwa na nyodoooo!

Unakuwa navyo vyote bado nyoodoo...

Yaani unatamani ungezaliwa zamani uoe zamani kipindi watu wanapenda kweli...
 
Utulivu nyumbani unahudumia lakini?umesimama kwenye nafasi yako kama mwanaume vizuri?
Wanaume nao mnabadilika sana ndo mana mtu akizipata anaona mwanamke alienae sio wa hadhi yake anatafta mwingine, nani anahitaji hio kadhia na maumivu?.. Wanaume wangapi pia wanapenda magolikipa sikuhizi?.. Wangapi wanahudumia wake/girlfriends zao 100%?
 
Obama was not a nobody jmn ukweli uwekwe wazi,both Obama and Michele were professional lawyers,u can imagine the potential he had enzi hizo za ubaguzi mtu mweusi anasoma Harvard,
magari walikuwa nayo and shortly after their marriage they bought a house unadhani ni nobody hao??there was potential... Michelle nae kaenda shule hatari...and uzuri she's an elite and a woman pia.,
wanaume na wanawake wote ni vyema tukajiandaa na maisha ya baadae,maandalizi yanaanzia ujananii...
 

Inaizidi hata couple ya jay z na beyonce ?
 
Barack had potential, Michelle had too, hakupenda kirejareja jmn..they were two elites,ukweli uwekwe waziiii,started from the bottom ndio but they were well off than most blacks
Ha ha ha
 
T

True, amuwezi kufikia level za kina Obama Kama ni mmoja tuh anayepigania ilo penzi, lazima achoke ata awe na upendo wa aina gani,
Simama kama mwanaume wa kweli ili upate nawe kulia kama Obama,...
 
 

Naamini ii hali yawadada kuwa ivi imetokana na uongo ulokisiri kwa wanaume,
Unamkuta mwanaume anaenda mtokee mdada tena wale wadada walolelewa, wenye maadili yao unamdanganya na kumrubuni vyakutosha, utakuwa mtu hukuwa ili tuh umpate, mdada wa watu ataamini na kuwa nawewe kitakochofata ni mtihani tuh, kumuumiza na kumliza kila siku ivi apo unatengeneza nini unategemea ataekuja baada yawewe atamtreat vipi, lazima alipize maumivu na kutkea ayo uloyasema,
Wanaume muwe na ukweli jamani, mnakuwa waongo Sana na mnataka wakina michelle
 
Haya mambo mnayaexagerate sana, mbona wapo wengi tu, kwani akina mama Salma,Anna,Janeth walianza na waume zao wakiwa na kipato gani??

Hao hao unaodai wana hali za chini ndio kwa kiasi kikubwa sana wanaoa,kwani wanaoa wanawake wa nchi gani? Suala la mahusiano ni la wawili hivyo likifail basi ujue wote mmechangia kwenye kufail kwake.

Na wanaume wengi wa kitanzania waliofanikiwa basi wengi walianza chini sana na wake zao,ila wakishafanikiwa ndio mabalaa yanaibuka,but unakuta wake zao wapo nao tu, na wengine hudiriki kabisa hata kuacha wake zao maana wakati huo ndio wanakuwa hawafai bali dogodogo ndio wanafaa, hebu ifike hatua muwape credit zao muone na mazuri yao.

Tatizo letu watz ukikataliwa na mwanamke au ukiachwa basi unahukumu wanawake wooote,akikuacha basi shukuru,muache aende as maybe kubaki nawe ndio ingekuwa anguko lako,hakuwa wako huyo,wa kwako atabaki nawe katika hali zote.
 
You can say that again sweetheart.
What about u?

Wewe je ni material nzuri?

Are u the type of a man that your woman would be proud of...

A man that your woman would submit to wholeheartedly...?
Eactly,be Obama and you'll meet yo Michelle, tatizo hawa ndugu zetu wao wanaonaga wanawake tuu ndio tuna mabalaa ila wao ndio wamekamilika, yaani wao ni malaika waliopo duniani.

Huwa najiuliza ni kwanini wanaume siku hizi wamekuwa walalamishi sana hata sipati majibu,what a generation!!!
 
Hapo wewe ndio pepo maana unamlazimisha kuchagua kitu mbacho sio chaguzi yake. Let her be tafuta aliewako usilazimishe kuwa na mtu ambae yeye wewe sio chaguzi yake you ll sufer!! Hivi wanaume huwa mnadhani wanawake hawapaswi kuchagua? Bali wewe ukishamchagua inatosha!!
 
T


True, amuwezi kufikia level za kina Obama Kama ni mmoja tuh anayepigania ilo penzi, lazima achoke ata awe na upendo wa aina gani,
Simama kama mwanaume wa kweli ili upate nawe kulia kama Obama,...
Asante...
 
Kunasiku wallet itatoboka. Na hapo ndipo utakaposimangwa na kuitwa mwanaume suruali. Maisha ya sasa dada zetu wengi wamekuwa mwiba. Hali inayopelekea na vijana wengi kuogopa kuoa na kuwa committed kwenye relationship
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…