Hii inapendeza sana kwa wapenzi

Hii inapendeza sana kwa wapenzi

Inapendeza sana,ila the type of woman Michelle alivyo ni yule anayeogopwa sana na wanaume wa kibongo
Michelle by the time anaolewa alikua kasoma Princeton na Harvard, Lawyer by profession
Wanaume wa kibongo ana masters anamtaka form 4 leaver...how can u be Obama when u don't wanna marry Michelle?
Punguzeni woga baadhi ya wanaume, mwanaume kujiamini
 
Ok! Kumbe kuachieve such level of relationship inabidi mkaribiane kielimu. Wabongo tuache woga. Chukua degree holder mwenzako.
 
Kabisa mambo yanapokuwa mazuri ndo upendo unazid yakienda kinyume na upendo unayumba.
Kila watu huwa wana pitia misuko suko, hapo hapo ikulu, Obama na Michelle wamewahi kaa siku 4 bila kuongea, miaka ya 2000 wakat Obama siasa zime mzidia ndoa yao ilikuwa ina chungulia talaka.

The difference ni kuwa wenzetu walifanikiwa ku hold on hata kile kipindi ambacho relationship ipo very low, wao hawakuachana.

Difference yao na watu wengi ni kuwa wao hawakuachana kipindi hawaelewani ila walitafuta namna ya kusahihisha mahusiano yao.
Wengi huwa tunashindwa hapo tu.
 
Kila watu huwa wana pitia misuko suko, hapo hapo ikulu, Obama na Michelle wamewahi kaa siku 4 bila kuongea, miaka ya 2000 wakat Obama siasa zime mzidia ndoa yap ilikuwa ina chungulia talaka.

Mahusiano yoyote yanaendelea kuwepo sababu ya uvumilivu na kupendana kweli..otherwise kila mtu ana madudu yake
 
Kila watu huwa wana pitia misuko suko, hapo hapo ikulu, Obama na Michelle wamewahi kaa siku 4 bila kuongea, miaka ya 2000 wakat Obama siasa zime mzidia ndoa yap ilikuwa ina chungulia talaka.

The difference ni kuwa wenzetu walifanikiwa ku hold on hata kile kipindi ambacho relationship ipo very low, wao hawakuachana.

Difference yao na watu wengi ni kuwa wao hawakuachana kipindi hawaelewani ila walitafuta namna ya kusahihisha mahusiano yao.
Wengi huwa tunashindwa hapo tu.
Kweli. Kazi ni kuvuka pale ndoa inapokuwa ICU. Hapa wengi tunashindwa.
 
Ishu sio kuchukua majukumu ya wapenzi wetu na kuyafanya yetu...je na wao wapo tayari kuyachukua yetu na kuyafanya yao?
 
Kupenda kulitakiwa kuwe natural tu lakini watu wanaliana timing katika kupendana.

Mtu anapiga hesabu kwanza apende kwa asilimia ngapi...Hahaha
Mara eti sijui usimuonyeshe mtu kama unampenda sana....WTF

What a manufactured world we live in...

Eti hisia zinapimiwa,upende asilimia kadhaa!!
Chaaah!! Upuuzi mtupu ndio maana mambo tafrani,ni kuliana timing tu.
 
Mapenzi ya sasa ni ya kidigitali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom