Simple tu huyo demu hataki kutoa tunda huyo rafiki yake ni bodyguard tena kama kuna hela uli ahidi kaifata akijua huna cha kumfanya
Hii imewai nitokea nilicho kifanya nilihamisha attention yangu yote kwa rafiki yake
Nikaa Karibu na rafiki yake nikachukua namba yake mbele yake nikamsifia sana uzuri wa sura na umbo kua amewazidi wanawake wengi ela niliyo kua nime mwambia aje achukue ni 30k nikampa ila nikakubali kuingia hasara nikakwambia rafiki yake kwa ulivo ni impress yeye nikampa 40k
Upande wa pili mdomo ulivimba kwa kununa nikajua dawa imeingia sijui kama waliendelea na urafiki hii ndio dawa yao hawa matepeli akija na rafiki yake na mlipanga ni faragha wewe mtongoze rafiki yake mbele yake