Hii imekaaje demu kuja geto na rafiki yake

Hii imekaaje demu kuja geto na rafiki yake

Salamu wakuu. Hii kitu nashindwa kuelewa

Anampanga demu mida flani njoo geto demu anaitikia

Mwisho wa siku unashangaa amekuja na marafiki zake na hao marafiki zake na wao wanakuja na marafiki zao

Basi wakifika utadhani wamekuja kuandamana maana sio kwa msululu huo

Sasa mi nashindwa kuelewa mbaya zaidi Utasikia Shem tuna njaa twende kwako ukatupikie

Nyie wenzangu mnawezaje binafsi Huwa ikitokea Hali Kama hiyo Mimi na huyo demu ndo tunaishia hapo hapo

Nimekuita wewe njoo wewe Kama wewe siku nikiwa na shida na hao Wana ukoo nitaitisha kikao
Huyo ni muhuni, ungana na Mr slow slow kukataa wahuni🤣
 
Simple tu huyo demu hataki kutoa tunda huyo rafiki yake ni bodyguard tena kama kuna hela uli ahidi kaifata akijua huna cha kumfanya

Hii imewai nitokea nilicho kifanya nilihamisha attention yangu yote kwa rafiki yake

Nikaa Karibu na rafiki yake nikachukua namba yake mbele yake nikamsifia sana uzuri wa sura na umbo kua amewazidi wanawake wengi ela niliyo kua nime mwambia aje achukue ni 30k nikampa ila nikakubali kuingia hasara nikamwambia rafiki yake kwa ulivo ni impress yeye nikampa 40k

Upande wa pili mdomo ulivimba kwa kununa nikajua dawa imeingia sijui kama waliendelea na urafiki hii ndio dawa yao hawa matepeli akija na rafiki yake na mlipanga ni faragha wewe mtongoze rafiki yake mbele yake
Acha kulinganisha tunda na mavitu ya ajabuajabu wewe😁😁
 
Iliwahi nitokea hii.. niliishia kuwala wote na rafiki yake.
 
Salamu wakuu. Hii kitu nashindwa kuelewa

Anampanga demu mida flani njoo geto demu anaitikia

Mwisho wa siku unashangaa amekuja na marafiki zake na hao marafiki zake na wao wanakuja na marafiki zao

Basi wakifika utadhani wamekuja kuandamana maana sio kwa msululu huo

Sasa mi nashindwa kuelewa mbaya zaidi Utasikia Shem tuna njaa twende kwako ukatupikie

Nyie wenzangu mnawezaje binafsi Huwa ikitokea Hali Kama hiyo Mimi na huyo demu ndo tunaishia hapo hapo

Nimekuita wewe njoo wewe Kama wewe siku nikiwa na shida na hao Wana ukoo nitaitisha kikao
Khaaa ina maana kijana umeshindwa kujiongezea neno three,four,five some kwako ni msamiamiti mpya nn!?
 
Siku nikipata hiyo golden chance ntatembeza mzee boloyang kama sina akili vile. Tembezea wote bakola
 
Vua mbele yao wote.. atakaevumilia ndio wakwako
 
Shida ya kuwa shabiki wa utopolo ungekuwa mnyama ungewapa kichwa mapema kabisa😂
 
Ila ukwel hapo hataki kutoa tunda.
Kama unampa vijihera sitisha huwo msaada. utatumika vibaya
 
Back
Top Bottom