demu

A diesel multiple unit or DMU is a multiple-unit train powered by on-board diesel engines. A DMU requires no separate locomotive, as the engines are incorporated into one or more of the carriages. Diesel-powered single-unit railcars are also generally classed as DMUs. Diesel-powered units may be further classified by their transmission type: diesel–mechanical DMMU, diesel–hydraulic DHMU, or diesel–electric DEMU.

View More On Wikipedia.org
  1. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Hatimaye demu wa swahiba wangu jana kalala kwangu, nilimpigia swahiba kanambia muache tu alale akiwa sawa kesho atarudi

    Kwema Nna rafiki yangu mkubwa sana ana kidemu chake kizuri kizanzibar Jana kimekuja kunigongea mlango saa nne usiku, Cha ajabu tunakaa mbali mbali na swahiba wangu yeye anaishi magomeni Mimi naishi mbezi, ina maana katoka umbali huo kuja kwangu, baada ya kukifungulia kikawa kinalia ikabidi...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Angalau sasa nimejipata naweza tena kuwa na Demu. Nimeishi kwa mateso sana Mwananyamala

    Kwa mda mrefu nimeishi katika maisha ya kuunga unga sana chumba kimoja zile nyumba za kupanga za mabehewa ya train yaani mnakuta milango yote imejipanga ivi kama mabehewa. Ilikuwa ngum kuleta demu maana palijaa wa mama wa kiswahili wanapikia nje muda wote kelele uwezi letq demu usiwape mada ya...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu amewahi kupendwa na demu kama mimi?

    Leo nimemkumbuka sana demu wangu wa SUA. Nikiwa mwaka wapili wao walikuwa first year, tulikutana CRDB bank kipindi natoka kutoa boom langu yeye akawa kwenye foleni, siku hiyohiyo tukakutana tena kwenye restaurant moja hivi tukila chakula. Siku hiyo hiyo tena majira ya saa 1 jioni tukakutana...
  4. venchwa

    JamiiForums Tanzania Weekend Nyingine Karibuni! Demu huyu ntamtawanya na sitataka demu tena hadi mwezi uishe

    Siiweki picha yake ni mtu maarufu mtamsumbua, kaja leo amataka akae weekend Mzima wakati nina ratiba Nyingine kesho Mpaka week inaisha itakuwa Powa Ila sijui wanataka nini hadi nimechoka ,
  5. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Demu mlokole

    Broo haijalishi mwanamke wako ana sali kiasi gani Na ni mpole kiasi gani Ila ukweli halisi wa mwanamke wako upo kwenye simu yake
  6. venchwa

    JamiiForums Tanzania Ushauri usisake mke Mtandaoni, pitia hapa kabla hujapotea yaan hata huyo demu uko naye kama yuko mtandaoni IMEKULWA SANA

    Unatafta Mke JF au mtandao mwingine ? Mkuu umepotea Kwanza Mpaka mke aje kupatikana mtandaoni ni ama we una shida au na anayepatikana mitandaoni ana shida kulingana na wanaomjua live life , Kama unataka mke wa kukaa naye miaka nenda rudi angalia huko mtaani kwako ! Hawa wa mtandaoni ukikagua...
  7. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuogopa kulala na demu aliyeamua kukupa Chiu bure

    Hlw Mtaani kwangu fame ilikuwa kubwa sana na sikuwa mtu wa totozi nilikuwa na bebe yangu Moja tu najipoza nayo na haikuwa ya hapo mtaani , videmu vya mtaani vilikuwa vinaniona kama naringa sababu sijachukua kazi mtaani, miaka ikaenda nikapata safari mkoa kikazi nikakaa huko kama miaka 6 hivi...
  8. venchwa

    JamiiForums Tanzania Kuna huyo sijui chizi maarifa mpuuzi sana

    Huyo chizi nani anasema mi ni dogo niko tanzania ! Mi Nina Mwaka wa 12 ziko bongo nakula mbususu alafu mtu yuko Tandale analeta upuuzi Nawala anayechukia achukie
  9. venchwa

    JamiiForums Tanzania Jana bwana Hiyo nikapata demu watatu wakanipeleka jakuzi

    Nimechelewa kuamka mgongo unauma sana Mbaga Jr ninafuata ushauri wako ni kuwala tu 😀 Baada ya mechi ya ureno nikawa na mademu tumezoena sikutumia hata mia Jana wao ndo walinunua, wakanipa na pizza za free kumbe washaambizana kwamba huyu ni Hatari wanataka ku test ice cream nyeusi dadek! Kwanza...
  10. venchwa

    JamiiForums Tanzania Kuna watu ni washamba unajua kwanini hii ni maajabu, demu akiwa Instagram haliwi? Plus big size model wanauza hamjui

    Kuna kasumba hapa kwamba demu akiwa instagram haliwi kwanza kuna hawa akina Chizi Maarifa na Yule Mwingine ntamtag later wanadhani mwanamke akiwa instagram hafikiwi, ndo tunaishi nao huku, mi level zangu si samaki samaki au sijui chabibwa! Am more than that, sikutaka hawali kuwa naweka weka ma...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Demu wa Kiarabu Toronto. Amenifundisha jambo la ajabu sana

    Nlikutana naye Supermarket moja inaitwa T&T ana makalio yanaonekana ingawa kavaa baibui. Sasa ikawa kila nikizunguka nakutana naye. Kama mara 3 hivi. Mwishowe akaja niuliza kama kitu flani nmewahi kutumia ni kizuri. Nikamwambia ni kizuri nmewahi tumia na ni halal kwake. Akacheka na kushukuru...
  12. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Demu wangu karudi nifanyeje?

    Baada ya kukaa mwezi mzima amerudi leo wadau huwa mnawqpokeaje wapenzi wenu wakirudi toka safarini?
  13. MRWINNER

    JamiiForums Tanzania Umewahi Kugharamia Demu Halafu Akakunyima Utamu?

    vipi mdau ulichukua hatua gani kurudisha gharama zako?
  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Jaymond kununua nyumba Sweden, anaweza kudhulumiwa

    Msanii wa Kitanzania ambaye alikuwa comedian na sasa ni kama content creator wa video fupi za kucheza mitandaoni ambaye ni Jaymond akiwa na Mpenzi wake Isabella kutoka huko Sweden wamefanikiwa kununua nyumba yao ya kuishi pamoja. https://youtu.be/f4z3j5N8b8g Lakini mimi binafsi naona kama...
  15. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Utajisikiaje shemeji yako akimuita dada yako “Demu” mbele yako?

    Shemeji yako akimuita dada yako demu mbele yako unaipokeaje? Utajisikiaje?
  16. MANAGER DOCTOR WENGER

    JamiiForums Tanzania Probability ya kuchukua demu AU mtu anayejiuza bar, akawa mzima wa afya ni ndogo sana, nitakupa stori

    Mwaka Fulani awamu ya tano, nilikua geita, yes geita wanapaita gold city, au g town, kama kawaida yetu mapopo, hatulali mapema kiwanja kwa sana, Sasa mwenyeji wangu mmoja, nikimuuliza wapi pa kwenda kuparty, akanielekeza sehemu panaitwa desire park. Nilienda kule lakini sikuona maajabu watu...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Unataka kuoa unakuta demu ana sifa nyingi nzuri lakini ni Kiholoholo. Hapo mimi siwezi kabisa

    Demu kiholoholo ni demu kimbaumbau. Nimejarib mara kadhaa kula.... Huwa kwa kweli sivutiwi kabisa. Napenda demu awe na makebo makubwa. Hapo sawa. Lakini akiwa kiholoholo.... Aaargh labda ELI COHEN na Intelligent businessman wanaweza elezea kwa uzoefu wao. Maana hawa jamaa wana exposure kubwa...
  18. Vien

    JamiiForums Tanzania Nilipata demu wa chuo kupitia dating app, sikujua kama bado alikuwa bikra

    Huyu demu nilimpata kupitia hizi dating app kama ilivyo kawaida siku hizi. Unajua tena maisha ya sasa - watu wengi wanakutana mtandaoni, wanaongea kidogo, halafu wanaamua kuonana. Yeye aliniambia anaishi Sinza, na alikuwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili IFM. Kwa kifupi alikuwa msichana wa...
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Huyu demu alikua hanijibu meseji Sasa hivi anajibu nikiwa Sina mzuka nae inakuaje hii wazee

    Yaani alikua ananisumbua kinyama Sasa nashangaa Sasa hivi anashobo na Mimi nishamchoka hata kabla sijagonga aisee yaani nashangaa tu sinamzuka nae hizi meseji za Jana sijamjibu mpaka Leo ananiambia piga ila nimekausha kiufupi Sina mzuka nae kabisa Sasa hivi wezangu mlishawahi kukutana na hii...
Back
Top Bottom