Hii imekaaje demu kuja geto na rafiki yake

Simple tu huyo demu hataki kutoa tunda huyo rafiki yake ni bodyguard tena kama kuna hela uli ahidi kaifata akijua huna cha kumfanya

Hii imewai nitokea nilicho kifanya nilihamisha attention yangu yote kwa rafiki yake

Nikaa Karibu na rafiki yake nikachukua namba yake mbele yake nikamsifia sana uzuri wa sura na umbo kua amewazidi wanawake wengi ela niliyo kua nime mwambia aje achukue ni 30k nikampa ila nikakubali kuingia hasara nikamwambia rafiki yake kwa ulivo ni impress yeye nikampa 40k

Upande wa pili mdomo ulivimba kwa kununa nikajua dawa imeingia sijui kama waliendelea na urafiki hii ndio dawa yao hawa matepeli akija na rafiki yake na mlipanga ni faragha wewe mtongoze rafiki yake mbele yake
Kumbe ni miongoni mwa silaha yao Hilo nilikuwa sijui
 
Salamu wakuu. Hii kitu nashindwa kuelewa

Anampanga demu mida flani njoo geto demu anaitikia

Mwisho wa siku unashangaa amekuja na marafiki zake na hao marafiki zake na wao wanakuja na marafiki zao

Basi wakifika utadhani wamekuja kuandamana maana sio kwa msululu huo

Sasa mi nashindwa kuelewa mbaya zaidi Utasikia Shem tuna njaa twende kwako ukatupikie

Nyie wenzangu mnawezaje binafsi Huwa ikitokea Hali Kama hiyo Mimi na huyo demu ndo tunaishia hapo hapo

Nimekuita wewe njoo wewe Kama wewe siku nikiwa na shida na hao Wana ukoo nitaitisha kikao
Wr jamaa omba game wote au anza kumla demu mate mbele yao wataondoka tu
 
Lissu toka gerezani tu hakuna kazi hapa
Ukitaka uishi Maisha marefu achana na kitu siasa

Sasa wewe jifanye mwanaharakati uchwara utaliwa kichwa na tutakusahau

Na mkeo wahuni watamtunza vizuri tu
 
Salamu wakuu. Hii kitu nashindwa kuelewa

Anampanga demu mida flani njoo geto demu anaitikia

Mwisho wa siku unashangaa amekuja na marafiki zake na hao marafiki zake na wao wanakuja na marafiki zao

Basi wakifika utadhani wamekuja kuandamana maana sio kwa msululu huo

Sasa mi nashindwa kuelewa mbaya zaidi Utasikia Shem tuna njaa twende kwako ukatupikie

Nyie wenzangu mnawezaje binafsi Huwa ikitokea Hali Kama hiyo Mimi na huyo demu ndo tunaishia hapo hapo

Nimekuita wewe njoo wewe Kama wewe siku nikiwa na shida na hao Wana ukoo nitaitisha kikao
Bila shaka wemekuja kuvuna shamba lao walilopannda!
 
Mbona kwenye kikao kilichopita ,makamu mwenyekiti alisema hapo unawalala wote ili anayekupenda zaidi ndiye abaki shemeji yetu au sikusikia vizuri
 
Salamu wakuu. Hii kitu nashindwa kuelewa

Anampanga demu mida flani njoo geto demu anaitikia

Mwisho wa siku unashangaa amekuja na marafiki zake na hao marafiki zake na wao wanakuja na marafiki zao

Basi wakifika utadhani wamekuja kuandamana maana sio kwa msululu huo

Sasa mi nashindwa kuelewa mbaya zaidi Utasikia Shem tuna njaa twende kwako ukatupikie

Nyie wenzangu mnawezaje binafsi Huwa ikitokea Hali Kama hiyo Mimi na huyo demu ndo tunaishia hapo hapo

Nimekuita wewe njoo wewe Kama wewe siku nikiwa na shida na hao Wana ukoo nitaitisha kikao
Muda muafaka kuwapiga injili wote.
 
Injili sii uovu ila ni takatifu na mwongozo sahihi kiroho na maisha ya duniani
Naam, na ndiyo sababu , jmaa awapige hao mademu wote injili, wataokoka na kutoka hapo wakiwa wepesi na mizigo yao wameiacha hapo.
 
mkuu ilishindwa nini kubaki uchi tu uwamwagie radhi
 
Sidhani Kama Kuna mtu ambae Hana Roho mbaya inategemea na mazingira

Kama hajazaliwa nayo Basi ulimwengu utamfundisha namna ya kuwa na Roho mbaya
Mkuu mashemeji zako wana njaa fanya namna wale chakula siyo kitu cha kumnyima mtu
 
Back
Top Bottom