Aiseee, unga wa Yanga!Kwamba unataka tujilinganshe na Durban? Durban na Cape town ni miji ya kibeberu japokua ni africa hii hii...na imejengwa na mabeberu kutakakuilinganisha dar na durban ni kuikosea heshima nchi yako.. wakati durban inajengwa sisi huku tunahangaika na unga wa manjano ili wananchi wasurvive
Je Tanzania inajivunia kwa kukamilisha miradi kama hiyo au inajivunia mazingira rafiki ya kupiga pesa na kukwamisha miradi kama hiyo?Tanzania inajivunia hivi vitu mwaka 2021 S.A sijui itakuwa inajivunia nini mwaka huu baada ya miaka zaidi ya 39 kupita.
View attachment 1986164
Tanzania ni nchi ya kusikitisha sana.
mwee..Better late than never.
Yani ndio tupigiwe makelele yote haya!Kwamba unataka tujilinganshe na Durban? Durban na Cape town ni miji ya kibeberu japokua ni africa hii hii...na imejengwa na mabeberu kutakakuilinganisha dar na durban ni kuikosea heshima nchi yako.. wakati durban inajengwa sisi huku tunahangaika na unga wa manjano ili wananchi wasurvive
Kaka Tanzania inajivunia vidaraja 😝 nilionyeshwa picha ya daraja la ubungo interchange na Magufuli kwenye Tv ya taifa ila alichokuja kuzindua anakijua yeye na wachinaJe Tanzania inajivunia kwa kukamilisha miradi kama hiyo au inajivunia mazingira rafiki ya kupiga pesa na kukwamisha miradi kama hiyo?
Kutangulia sio kufika🐒Better late than never.
Mbona haujaleta ni vile vilivyojengwa na mtu mweusi baada ya uhuru wao kamili mwaka 1994? Kuna tofauti kubwa ya tawala za kizungu na kiafrika katika bara letu. Kaburu ya miaka hiyo ilikuwa bora na nzuri ukiilinganisha na hii ya sasa.Tanzania inajivunia hivi vitu mwaka 2021 😥 S.A sijui itakuwa inajivunia nini mwaka huu baada ya miaka zaidi ya 39 kupita.
View attachment 1986164
Tanzania ni nchi ya kusikitisha sana.
Tanzania inajivunia hivi vitu mwaka 2021 😥 S.A sijui itakuwa inajivunia nini mwaka huu baada ya miaka zaidi ya 39 kupita.
View attachment 1986164
Tanzania ni nchi ya kusikitisha sana.
Unamaanisha ulioneshwa "model" ya daraja lilivyotakiwa liwe na lilipokamilika likawa na sura pamoja na structure tofauti?Kaka Tanzania inajivunia vidaraja nilionyeshwa picha ya daraja la ubungo interchange na Magufuli kwenye Tv ya taifa ila alichokuja kuzindua anakijua yeye na wachina
Kaka S.A ina vingi vya kukushangaza tena vilivyojengwa wakati wa utawala wa Jacob Zuma tu hata siendi mbali.Mbona haujaleta ni vile vilivyojengwa na mtu mweusi baada ya uhuru wao kamili mwaka 1994? Kuna tofauti kubwa ya tawala za kizungu na kiafrika katika bara letu. Kaburu ya miaka hiyo ilikuwa bora na nzuri ukiilinganisha na hii ya sasa.
Kwanza bora hata TZ pamoja na wazungu kuondoka bila kujenga kitu lkn wenyeji wenyewe wamejitahidi kujenga na kuifikisha nchi hapo ilipofika leo.
Lkn kaburu toka uhuru mpaka leo majengo ni yale yale, barabara zile zile, walichofanikiwa ni kupaka rangi tu viwanja vya mpira wakati wa world cup yao.
Tuache makelele na kutamba.Kwa hiyo unataka kusema kwamba kwakua Durban walifanya hivyo 1982 sisi basi kwakuwa tulishindwa wakati huo kwa hiyo tusifanye sasa!?
Wekeni dual citizenship nihame niwe nakuja kutembelea ndugu kwa amani tuUnamaanisha ulioneshwa "model" ya daraja lilivyotakiwa liwe na lilipokamilika likawa na sura pamoja na structure tofauti?
Mambo hayo Tz yapo tu sana, kama unakumbuka vizuri model ya station ya SGR ilivyokuwa kabla ya ujenzi ukilinganisha na ujenzi ulivyotekelezwa na kukamilika!
Model ya kwanza ilikuwa na ghorofa mbili, moja ndefu na moja fupi, iliyokuja kujengwa na kukamilishwa ni fupi, ile ndefu ambayo nadhani ndiyo yenye thamani kubwa zaidi ikazimishwa!
Hatujasikia mtu akiongea wala kujadili.
Tuache makelele na kutamba.
Hii ni Nairobi Express way brother siku Tanzania ikijenga hizi roads zenye interchange za kufa mtu hivi nitakuwa sipo Duniani.
Sijawahi kupenda kuzaliwa bongo kabisa 😥