Hii ilikuwa Durban 1982

Hii ilikuwa Durban 1982

Malawi 🇲🇼, 🇿Zambia 🇿🇲, Burundi 🇧🇮 na wengine nawao wakija kwetu wanashangaa kwahiyo Acha tujivunie tulichonacho
 
Aiseee, unga wa Yanga!

IMG-20211022-WA0001.jpg
 
Sisi miaka hiyo ndio kwanza tumetoka kumng'oa nduli Amin
 
Tanzania wanashindwa hata kupanga MIJI sijui mtu mweusi analaana gani kwakweli hii DAR ambayo wanaisifia ukweli ni MJI wa hovyo hasa hata haueleweki kabisa ni MJI wa hovyo hasa .

Nashauri siku mtu ajitolee achukue VIDEO za JUU (Aero View) mji wote wa DAR ES SALAAM kisha arushe kwenye TV watu waone DAR kiwe kipindi maalum ilivyo ni AIBU hawa wapanga MIJI hawaone AIBU hivi.
 
Pesa za wazungu ukiwa na maana wametupa tu tujenge au mikopo? Je hiyo miradi mikubwa imejengwa wakati wa ukoloni au baada ya ukoloni? Hapa nimetaka kujua baada ya uhuru wa mwaka 94 kule kaburu ni miradi gani mikubwa ya maana iliyofanywa na serikali ya mtu mweusi?
Ingia humo usome Kama unajua kimombo!

Dar yenyewe imetushinda kupanga Jiji limekaa Kama Islamabad

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Mimi mtoto wa mbwa tu Mkuu.. Ila nawish kuuona na kuuona... Ngoja nitafute mahindi Kwanza.
Ukiandaliwa kisasa mtamu balaa Ila ule aliousema jamaa pale juu Enzi zile ulikuwa hauliki ndio ulikuwa mashuleni boarding na sie WA class Fulani ya chini ndio ulikuwa msosi ,SASA uukute na haragwe like jekundu hakuna Mafuta! Kumbuka Enzi hizo ukikutwa umelimbikiza Mafuta, Mchele, sukari ni mhujumu uchumi. Tumetoka mbali.
 
Ingia humo usome Kama unajua kimombo!

Dar yenyewe imetushinda kupanga Jiji limekaa Kama Islamabad

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hahahaha.. aisee unachekesha sana ndugu yang. Hizi ni ahadi tu ila bado utekelezaji wake, kwahiyo utakiwi kukimbilia kuamini mpaka pale utakapoona vilivyoahidiwa vimefanyiwa kazi na kukamilika. Look my bro mi nipo hapa kaburu kwa takriban miaka 20 now, Kwahiyo naijua kaburu vizuri kwa 70% kuliko unavyofikiria au unavyoaminishwa na akili yako. Kama ingekuwa ahadi na mipango kama hii ulioweka hapa ndio maendeleo, basi nchi nyingi za afrika zingekuwa mbali sana kimaendeleo. Maana kila raisi wa kiafrika huja na plan nzuri na za kuvutia, lkn utekelezaji ni zero. "Wazaramo wanasema zilongwa mbali, na zitendwa mbali.. Sisi tunaoishi kaburu ndio tunaojua. Ni mara 100 Magufuli alijitahidi kufanya kile alichoahidi kwa wananchi wake kama vile kununua ndege kanunua, Kujenga flyover kajenga, kuongeza na kupanua miundo mbinu ya barabara kaongeza mpaka njia 8, kuzuia utoroshaji wa madini yetu kajenga ukuta. Kaboresha viwanja vya ndege na kuvifanya kuwa vya kisasa, kajenga stand za kisasa za mabasi katika mikoa mbali mbali japo kwa bahati mbaya amekufa hajamalizia mikoa mingine. Daraja kubwa na la kisasa Magufuli bridge, daraja kubwa la tanzanite pale salender bridge. I mean amefanya mengi ambayo mengine nimeacha kuyaweka hapa ili post isiwe ndefu sana. Ila hao wengine wameingia madarakan wamekuta tayari washawekewa kila kitu na weupe, lkn wameshindwa kumalizia hata vile vichache vilivyobaki. Je weupe wangeondoka bila kujenga kama walivyofanya kwetu unafikiri leo hii kwao kungekuwa katika hali gani? Wewe unasoma gazeti.. lkn mimi nipo ndani kabisa kama unavyoona pichani.

IMG_20211026_112549.jpg

IMG_20211026_112512.jpg

IMG_20211026_112622.jpg
 
View attachment 1987289

View attachment 1987290

View attachment 1987291
Hahaha Sasa unadhani Nani hajaishi SA?

Wewe kupiga picha kwenye Barabara unajiona mjanja au unataka na sisi tuweke picha zetu tukiwa kwenye mavikao hapo South Africa ?

Kwanza inaonekana huna la maana unalofanya hapo SA , serious investors hawana muda wa kusema SA hakijafanyika chochote kwenye jiko la kiuwekezaji !

Kama south hawajafanya lolote njoo urudi bongo uje kufanya shughuli zako huku Namtumbo

Haya mkuu...
 
Back
Top Bottom