Hahahaha.. aisee unachekesha sana ndugu yang. Hizi ni ahadi tu ila bado utekelezaji wake, kwahiyo utakiwi kukimbilia kuamini mpaka pale utakapoona vilivyoahidiwa vimefanyiwa kazi na kukamilika. Look my bro mi nipo hapa kaburu kwa takriban miaka 20 now, Kwahiyo naijua kaburu vizuri kwa 70% kuliko unavyofikiria au unavyoaminishwa na akili yako. Kama ingekuwa ahadi na mipango kama hii ulioweka hapa ndio maendeleo, basi nchi nyingi za afrika zingekuwa mbali sana kimaendeleo. Maana kila raisi wa kiafrika huja na plan nzuri na za kuvutia, lkn utekelezaji ni zero. "Wazaramo wanasema zilongwa mbali, na zitendwa mbali.. Sisi tunaoishi kaburu ndio tunaojua. Ni mara 100 Magufuli alijitahidi kufanya kile alichoahidi kwa wananchi wake kama vile kununua ndege kanunua, Kujenga flyover kajenga, kuongeza na kupanua miundo mbinu ya barabara kaongeza mpaka njia 8, kuzuia utoroshaji wa madini yetu kajenga ukuta. Kaboresha viwanja vya ndege na kuvifanya kuwa vya kisasa, kajenga stand za kisasa za mabasi katika mikoa mbali mbali japo kwa bahati mbaya amekufa hajamalizia mikoa mingine. Daraja kubwa na la kisasa Magufuli bridge, daraja kubwa la tanzanite pale salender bridge. I mean amefanya mengi ambayo mengine nimeacha kuyaweka hapa ili post isiwe ndefu sana. Ila hao wengine wameingia madarakan wamekuta tayari washawekewa kila kitu na weupe, lkn wameshindwa kumalizia hata vile vichache vilivyobaki. Je weupe wangeondoka bila kujenga kama walivyofanya kwetu unafikiri leo hii kwao kungekuwa katika hali gani? Wewe unasoma gazeti.. lkn mimi nipo ndani kabisa kama unavyoona pichani.
View attachment 1987289
View attachment 1987290
View attachment 1987291