Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 14,929
- 20,979
Vianzio unavyo mkuu? Maana watu hupelekea kuishi kivumilivu kwa sababu ya "jeuri" hawana.Wekeni dual citizenship nihame niwe nakuja kutembelea ndugu kwa amani tu
Vianzio unavyo mkuu? Maana watu hupelekea kuishi kivumilivu kwa sababu ya "jeuri" hawana.Wekeni dual citizenship nihame niwe nakuja kutembelea ndugu kwa amani tu
Tumejenga wapi Dar zaidi ya 70% ni unplanned and unsurveyed ...Mbona haujaleta ni vile vilivyojengwa na mtu mweusi baada ya uhuru wao kamili mwaka 1994? Kuna tofauti kubwa ya tawala za kizungu na kiafrika katika bara letu. Kaburu ya miaka hiyo ilikuwa bora na nzuri ukiilinganisha na hii ya sasa.
Kwanza bora hata TZ pamoja na wazungu kuondoka bila kujenga kitu lkn wenyeji wenyewe wamejitahidi kujenga na kuifikisha nchi hapo ilipofika leo.
Lkn kaburu toka uhuru mpaka leo majengo ni yale yale, barabara zile zile, walichofanikiwa ni kupaka rangi tu viwanja vya mpira wakati wa world cup yao.
Ni vipi hivyo mkuu.. ndo uviweke hapa tuvilinganishe na hivi vya kwetu. Naongea nikiwa mwenyeji wa South na mzaliwa wa Tanzania.Kaka S.A ina vingi vya kukushangaza tena vilivyojengwa wakati wa utawala wa Jacob Zuma tu hata siendi mbali.
Yani ni vyakushangaza sana
Angalau mji na mji kaka, hata Durban na Dar au Soweto na Arusha hata comparison haitokuwa sawa basi mzani usiwe umeinama kiasi hikiWa-Dutch (Boers) wameingia SA by 1600s. Wame settle na kuendeleza hapo so una expect kweli ulinganishe SA na TZ?
Mi mwenyewe nipo bongo hapa hapa mzeeNipe connection basi niache na kazi 😄
Kwamba Tanzania imejengwa zaidi ya South Africa ? Una kichaa wewe.Ni vipi hivyo mkuu.. ndo uviweke hapa tuvilinganishe na hivi vya kwetu. Naongea nikiwa mwenyeji wa South na mzaliwa wa Tanzania.
Soma vizur post yang ya kwanza afu ndo uje comment vizur sio unakurupuka. Nimezungumzia vitu vilivyojengwa baada ya uhuru. South imeendelezwa hasa na weupe lkn baada ya uhuru hakuna cha maana kilichojengwa zaidi ya kupaka viwanja vya mpira rangi. Tanzania iliachwa uchi na mzungu lkn wazawa wenyewe wamekomaa wakaijenga. Sasa hauoni tofauti ya vilivyojengwa na wazawa wa Tz na wazawa wa kaburu baada ya uhuru wa nchi zao! Tembelea Alexsanda, Germiston, Tembisa, baadhi ya maeneo ya soweto, Jeppe kule hostel na kwingineko wanakoishi wazawa halisi uone hiki ninachoandika hapa.Kwamba Tanzania imejengwa zaidi ya South Africa ? Una kichaa wewe.
Nitajie miradi hapa Tanzania ambayo imejengwa na wazawa ?Soma vizur post yang ya kwanza afu ndo uje comment vizur sio unakurupuka. Nimezungumzia vitu vilivyojengwa baada ya uhuru. South imeendelezwa hasa na weupe lkn baada ya uhuru hakuna cha maana kilichojengwa zaidi ya kupaka viwanja vya mpira rangi. Tanzania iliachwa uchi na mzungu lkn wazawa wenyewe wamekomaa wakaijenga. Sasa hauoni tofauti ya vilivyojengwa na wazawa wa Tz na wazawa wa kaburu baada ya uhuru wa nchi zao!
Nitajie miradi hapa Tanzania ambayo imejengwa na wazawa ?
Miradi yote mikubwa Tanzania Ni pesa za wazungu!
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Pesa za wazungu ukiwa na maana wametupa tu tujenge au mikopo? Je hiyo miradi mikubwa imejengwa wakati wa ukoloni au baada ya ukoloni? Hapa nimetaka kujua baada ya uhuru wa mwaka 94 kule kaburu ni miradi gani mikubwa ya maana iliyofanywa na serikali ya mtu mweusi?Nitajie miradi hapa Tanzania ambayo imejengwa na wazawa ?
Miradi yote mikubwa Tanzania Ni pesa za wazungu!
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
View attachment 1986212Courtesy ya Gettyimage
Hii ilijengwa mwaka gani na chini ya utawala wa nani?View attachment 1986212Courtesy ya Gettyimage
Hahahaha.. nipo kona hapa nasubiri jibu la chombo ya mzungu.kama ni hivyo nawewe unasubiri nini kujiita chombo ya mzungu!!!!
maana huna chako
Ulitaka nchi zote ziwe sawa kimaendeleo?Tunatia sana aibu.
Kwenye suala la miundo mbinu, mzungu ni mzungu tu.Tanzania inajivunia hivi vitu mwaka 2021 😥 S.A sijui itakuwa inajivunia nini mwaka huu baada ya miaka zaidi ya 39 kupita.
View attachment 1986164
Tanzania ni nchi ya kusikitisha sana.