Alikua akilia tu "jamani daddy" machozi yake anajifutia na noti nyekundu za kutosha, machozi yote yanafutika na yeye anapotea mpaka zikiisha anarudi tena kuzifuata na kujilizaliza.
Kuna swali hua najiuliza;
Mwanamke kuchukua video za nguo za ndani (chupi zake) zote anazozivaa na kumtumia...
Hivi hili ni la kweli kwamba ukishaoa ama kuolewa hupaswi kulala na nguo au ni utaratibu mtakao amua kuuweka Kati mtu na mwenza wake
Maana kiukwel sijajiandaa kisaikolojia kulala bila nguo hata za kulalia
Hapa nataka watu wazima watuambie ukwel sis vijana wao
Kumekua na tabia ya baadhi ya wadada kuvaa nguo za ndani za kiume boxers na wameamua kunormalize kabisaa kiukweli hiki kitu upande wangu sikipendi na hata ikitokea nimeingia faragha na msichana nikimkuta na uvaaji huu huwa inanikata mood mno
nini siri ya hali hiyo ya kipekee muwapo faragha na mwenzi wako hasa wa mara ya kwanza?
Eti wanaume,
kulikoni unaingia faragha na mwenzi wako huku ukimuharakisha achojoe nguo zake na wewe ukikimbilia zaidi kuvua pichu? ni nini huchochea hali hiyo?
Na ni kitu gani kinakufanya usimvalishe baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.