Hii hutokea Afrika tuu.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
...especially East Africa.
48081_396980067067430_796437241_n.jpg
 
And only Tanzania........ila nashukuru.....kwa sasa mimi ni mMongolia........
 
Siku nyingi........nchi gani ya aibu namna hiyo.....labda mkibadilisha rais......naweza kuchange mind........
Ofcoz 2015 ni lazma Rais atabadilika hope utarudi kwenu ingawa chama huenda kisibadilike.
 
Ofcoz 2015 ni lazma Rais atabadilika hope utarudi kwenu ingawa chama huenda kisibadilike.

Hivi hatuwezi kuamua......tukamchagua Queen....Obama....au Kagame.....yani waTanzania tunakubaliana tu kuchagua......sisi si ndio wenye nchi.....? ....haifai.....?
 
Duh aisee.. Mungu ibaridi Tanzania Mungu ibariki afrika

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sio kwamba ni ubunifu? Yan kwamba mchoraji na mjengaji walimaanisha likae hivyo?

Yap ubunifu wao ni wa hatar, lakn ndo njia mojawapo ya kwenda kupiga ubwabwa Ikulu, kama utashirik uokoaji litakaposhuka chin.

Posho ya kuwapa wakaguz wa majengo hakuna, ila pesa ya kuandaa msos kwa waokoaji ipo ya kutosha.

KUSHANGAZWA/VIMBWANGA ni sehem ya maisha Tz.
 
Ila hili linaonekana ratio ya cement na mchanga haikua mbaya sana.
 
Kwa taarifa yako hiyo ghorofa ilikuwa imara sana, isipokuwa ardhi ilititia tu
 
Hivi hatuwezi kuamua......tukamchagua Queen....Obama....au Kagame.....yani waTanzania tunakubaliana tu kuchagua......sisi si ndio wenye nchi.....? ....haifai.....?
sisi...wewe na sisi...ndio wenye nchi? mbona wewe sio mtanzania? umesema umeukana uraia wa TZ na kuwa mMongolia!!!
 
Kwa taarifa yako hiyo ghorofa ilikuwa imara sana, isipokuwa ardhi ilititia tu
Bodo kuna weakness kwa mainjinia kwa sababu ujenzi huzingatia pia aina ya udongo wa ardhi.
Udongo hupimwa kabla ya ujenzi, kama una tabia ya kutitia then ujenzi mkubwa kama hauo haufanyiki.
Au wewe huoni tatizo hapo?
 
Back
Top Bottom