Hii hutokea Afrika tuu.

Hii hutokea Afrika tuu.

Kwa taarifa yako hiyo ghorofa ilikuwa imara sana, isipokuwa ardhi ilititia tu

Kwenye civil engineering, mara nyingi wajenzi wanashauriwa kuchunguza historical background ya ajanga kama landslides na matetemeko kwenye eneo husika kabla hawajajenga. Vile vile wanashauriwa kuchunguza udongo wa eneo husika, usije kuta mtu kajengwa ilipokuwa ardhi oevu halafu baadaye madhara yanakuja kutokea bada ya miaka kadhaa.
 
sisi...wewe na sisi...ndio wenye nchi? mbona wewe sio mtanzania? umesema umeukana uraia wa TZ na kuwa mMongolia!!!

naweza nikabadili mawazo nikarudia uTanzania wangu........lakini kwa sasa mimi ni mMongolia........
 
Back
Top Bottom