britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Mwanamziki nguli kutoka uingereza ameimba wimbo rasmi wa free Bob wine kushinikiza serikal ya Uganda kumwachia Mbunge wa Kyadondo Kyagulanyi Sentamu
Wacha litudodee tu, hawana maana! Nitalicheka sana lile lipenda sifa za kijingaHali ya hii kisiasa inaharibu ndoto zetu za kunufaika kutokana na bomba la mafuta kutoka Hoima. Kwa kifupi hakutakua na uwekezaji (financing) pasipo demokrasia.
ivi uganda imekosa mzalendo mmoja tu ambaye yupo kwenye system kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
M7 ni bora mara elfu kuliko huyu shetani mpya tuliyenayeNafunga safari hadi Kampala. Nitatembea uchi jiji zima kumlaani mseven halaf na malizia kutandaza marvy getini ikulu. Halafu najiua kabla hawajanikamata hai
Mzee issue siyo lugha, tatizo sisi udaku tunapenda sana mambo mazito hatuyapi kipaumbeleMimi nadhani wenzetu lugha inawabeba zaidi. Kwa mfano hata tukio la lissu namna lilivyobamba kama ingekua tunaonge kingereza lingeenda mbali zaidi.
Sio uganda tu hata kwa akina wagagagigikoko hakuna kweli mzalendo mmoja tumpumzikeivi uganda imekosa mzalendo mmoja tu ambaye yupo kwenye system kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
SureHali ya hii kisiasa inaharibu ndoto zetu za kunufaika kutokana na bomba la mafuta kutoka Hoima. Kwa kifupi hakutakua na uwekezaji (financing) pasipo demokrasia.
Wewe nae uko JF unajiiita GT. Unajua ajira ngapi watanzania Wanyonge watafaid?? Mazao kias gani tutauza nk nk. Usitangulize chuki mbele daima weka Utaifa/Tanzania mbele.Wacha litudodee tu, hawana maana! Nitalicheka sana lile lipenda sifa za kijinga
MTU yeyeto aliekwenye system ni mnufaika wa system,hawezi iharibu system sababu njaa itavamia tumbo.ivi uganda imekosa mzalendo mmoja tu ambaye yupo kwenye system kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona walilipigia kelele sana wakina Msigwa na Lema,tatizo lugha waliyoongea haikuwa kiingereza ila lugha iliyofanana na kiingerezaMimi nadhani wenzetu lugha inawabeba zaidi. Kwa mfano hata tukio la lissu namna lilivyobamba kama ingekua tunaonge kingereza lingeenda mbali zaidi.