Hii hatari sasa mpaka David Girman aingilia kati, free Bob wine

Ivi Sugu hawakusikia kuwa kafungwa?
Alifungwa kwa makosa yake, pia hata Mbowe akifungwa ni kwa makosa yanayojulikana, kwa Bob wine nitofauti, yeye hajafungwa yuko kashikiliwa bila sabau
 
Bara la Africa na bara la Asia pamoja na Nchi za Falme za kiarabu (Middle East),hakuna Siasa wala cha Democrasia.
Isipokua Siasa ipo tu kama imewekwa kiushahidi tu.Lakini kiuhalisia zaidi hakuna Siasa wala Democrasia ya ukweli.
Ni bora tungeshughulika na mijadala mengine kuliko kupotezeana Muda kwa kujadili Siasa au Democrasia‍♂️
 
Magufuli Badly Shaken By Bobi Wine Developments

Ukoloni mnautaka wenyewe kwa wenyewe. Kwa mtindio wa ubongo mulio nao msitegemee wazungu kuja kuwatengenezea mazingira mazuri hata siku moja. Pambaneni na hari zenu. Msitafute wakoloni kuja kuwaunganisha. Shwaini kabisa.

Jitu badala ya kujieleza kwa Kiswahili ili watanzania waelewe limeende kujieleza kwa kibombo ili mkoloni aelewe.

Hivi munaelewa maana ya uhuru kweli nyie watu? Agrrrrrrrrrrrrrrrrraaaaahhhhhhhhhhhh
 
Bara la Africa na bara la Asia pamoja na Nchi za Falme za kiarabu (Middle East),hakuna Siasa wala cha Democrasia.
Isipokua Siasa ipo tu kama imewekwa kiushahidi tu.Lakini kiuhalisia zaidi hakuna Siasa wala Democrasia ya ukweli.
Ni bora tungeshughulika na mijadala mengine kuliko kupotezeana Muda kwa kujadili Siasa au Democrasia‍♂️
Siasa ni sehemu ya maisha,maamuzi ya wanasiasa uathiri mfumo mzima wa maisha,utake usitake utalazimishwa kuongelea siasa tu,pale nyumba yako itakapobomolewa ulale nje,fukuzwa shule,bei ya sukari,mafuta,nauli kupanda,kuzuiliwa kuuza nje mazao yako,foleni mijini. Nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sawa Mkuu,Kama ni Swala la kuongelea tu Siasa,hilo wala halina tatizo,kwasbb ndio majaaliwa yetu sisi tuliojaaliwa kuliongelea saaana jambo kwa maneno matupu kuliko kulifanyia kazi hilo Jambo kwa vitendo
 
Back
Top Bottom