Hii hatari sasa mpaka David Girman aingilia kati, free Bob wine

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,635
29,967
Mwanamziki nguli kutoka uingereza ameimba wimbo rasmi wa free Bob wine kushinikiza serikal ya Uganda kumwachia Mbunge wa Kyadondo Kyagulanyi Sentamu
 
Wacha litudodee tu, hawana maana! Nitalicheka sana lile lipenda sifa za kijinga
Wewe nae uko JF unajiiita GT. Unajua ajira ngapi watanzania Wanyonge watafaid?? Mazao kias gani tutauza nk nk. Usitangulize chuki mbele daima weka Utaifa/Tanzania mbele.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom