Hii handshake ni woga au protokali

Hii handshake ni woga au protokali

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Posts
1,827
Reaction score
708
JK: "We ndio unaniita mimi dhaifu"
Nyika: " ha ha ha mzee nilikuwa nakutania tu"
attachment.php
 
Hapo bila shaka baada ya kukamatwa mikono yote miwili mnyika akakumbuka kuwa JK alikuwa lieutenant-colonel akaanza kulia " oooooh Mzee naomba unisamee, sitarudia tena, naomba unisamee, usinipige nimekoma, niko chini ya miguu yako".
 
nilijua wakikutana watapigana mpaka asubuhi duh
 
Hapa mchizi wangu kanyakwa hana ujanja, maana huo mkono wa kushoto wa Baba mwenye nyumba enzi za U-luteni Kanali inasemekana alikuwa akikupa cross jebu lazima ukae chini.

Siku hizi vijana wanamtania kama Babu yao wakijua amesahau taaluma yake, lakini wakimuuliza Kijana wa Ubungo atawaambia alijisikiaje hapo kwenye mkono wake wa kulia.
 
attachment.php


hii mikono ya mkuu ni kujihami au namaelekezo ya TISS
 

Attachments

  • sihasa.JPG
    sihasa.JPG
    54 KB · Views: 1,306
Issue sio handshake ni je wananchi tutapata maji katika ngwe hii ya mwisho ya JK? Handshake yenyewe inaashiria kuwa maji yatapatikana ila kwa sasa wanajipanga!
 
Back
Top Bottom