Samil Silsih
Member
- Mar 1, 2013
- 94
- 28
Hicho si ndo chama cha kuteuliwa na raisi?
eti ni maalumu kwaajili ya kuidhoofisha cdm, na kupunguza kura 2015
Hicho si ndo chama cha kuteuliwa na raisi?
huku JF tunaparuana kwa ushabiki kule wanapeana mikonoSiasa si uadui
mi kila siku nawaambie JK ni CDM damu nyie mnanibishia haya oneni wenyewe sasa.
Tena sababu ya Protocali - alihitaji walau apate nusu saa achote hekima toka kwa dogo -- chezea CDM wenye.(digital channel)
hahahahaahahah wewe unaoteshwa kama sio unaota aiseee heheheheeheh nccr hahahahahanccr mageuzi ndiyo mkombozi wa kweli.
huku jf tunaparuana kwa ushabiki kule wanapeana mikono
achote hekima kutoka kwa wapanga fujo na maandamano???? Shame on you!
Hujui CCM ilifikaje hapo ilipo wakati ule ipo chini ya mwalimu Nyerere,matembezi ya mshikamano na maandamano ndio ilikuwa njia pekee ya kuwaunganisha watanzania,sasa leo hii wewe unaona ni jambo baya kama walivyokuwa wanaona wakoloni,sishangai sana kusikia mkiona maandamano ni tatizo kwenu maana nyie ni kama wakoloni.Achote hekima kutoka kwa wapanga fujo na maandamano???? shame on you!
haya wayasema weye, lakini ukweli unabakia ndani ya roho za watanzania na wao ndiyo mahakimu juu ya tuhma zote hizo zinazopikwa.Achote hekima kutoka kwa wapanga fujo na maandamano???? shame on you!
hivi hiki chama bado kipo?nccr mageuzi ndiyo mkombozi wa kweli.
Acha matusi kwa baba zako na kaka zako, kesho unaweza zaa kifafa-acha kabisa mwanangu
Mnyika iyo nguo uliazima mbona over size?!![]()
hii mikono ya mkuu ni kujihami au namaelekezo ya TISS