Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 6,658
- 11,325
Uwanja wa songwe upo mbeya na siyo songwe kama mkoa. Fuatilia usikurupuke na ulianza kujengwa kabla ya mgawanyo wa hiyo mikoaMimi sio mkazi na wala sjawahi kufika chato ila kuhusu hili la airport kujengwa chato nadhan pia tungewaza kwanini international airport ilijengwa songwe na siyo mbeya,nadhan watu hawahoji sana kuhusu uwanja wa songwe sabab kikwete aliujenga halafu akawa hatokei songwe,ndo maana kelele ni chache au hazipo kuhusiana na uwanja wa songwe,,,,,,,!kitu msichokijua hii ilikuwa ni mikakati ambayo rais yeyote angetekeleza,hata kama lowassa angepita angeujenga uwanja huu ila kelele zisinhekuwepo sabab yy anatokea monduli,mkizipata sabab za kujengwa uwanja wa songwe mtazipata sabab za chato airport,mnadandia sana visabab vya kijinga visivyo na mashiko