Hii elimu bure ya Magufuli watoto wao wanasoma hizo shule za bure? Ndugu zao wanafundisha huko? Inatusaidia kimaendeleo? Inaendana na teknolojia?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,873
Elimu ni maarifa yanayofundishwa toka kizazi kimoja hadi kingine katika kuhama na tabia, mwenendo, ujuzi, maarifa na sayansi ya kubadili mazingira yawe ya manufaa kwa umma.

Huwa najiuliza hii elimu inayosifiwa kuwa ni ya bure.

Kiuhalisia hii sio elimu bure kama wanavyosema maana kuondoa ada haimaanishi elimu ni bure bali bila malipo ya ada lakini mambo mengine kama daftari, kalamu, nauli nk mzazi bado anagharamikia ila ile elimu ya Nyerere ndio ilikuwa bure maana vyote vililipiwa na serikali. Tuliosoma enzi zile utakumbuka kuna daftari lilisomeka "haliuzwi"

Bado najiuliza hii elimu ya sasa ni watoto wangapi wa vigogo wanasoma hizo shule za elimu bure? Kuanzia rais na viongozi wote wa kisiasa tujue wanavyotunga sheria na mitaala kama ina tija hadi watoto wao wasome katika shule hizi za bure italeta sensi ya kuwa wametuletea vitu vya maana.

Pili hizi shule za bure kuna ndugu wa karibu mfano wake, waume, kaka, dada wa hao viongozi wanafundisha katika shule hizi?

Tatu. Hizi shule kwa elimu inayotolewa inaendana na kasi ya dunia ya teknolojia? Tunachofundisha kina shabihiana na dunia tuliyopo? Elimu yetu tukienda china, uingereza tunaweza kupapambana nao kwenye uvumbuzi na ajira?

Je vyuoni tuna vifaa vya kisasa vya kufundishia au bado tuko analogy na vifaa vya mwalimu nyerere ndio tinafundishia karne hii? Bado tuna xray wakati wenzetu wana ctscan, mri nk?

Shule zetu za technical zikoje je zinavifaa vya karne hii au bado tuna enzi ya mwalimu ambapo tunawataka wakitoka wajiajiri lakini wao wameajiriwa nawananchi?
 
Hata hao walimu watoto wao hawasomi kwenye shule za Magu. Kule watoto wanapelekwa ili wakue, ni sawa na vituo vya kulelea watoto! Ni watoto wachache sana wanaotoboa.
 
Hoja yako ni ipi hapo,au umejawa majungu tu? Kwani hii elimu msingi bila malipo isingekuwa bure watoto wa Magufuli wangesomea huko?

Kwani wewe mtu akipika chakula hana haki ya kusema hajisikii kula na asile chakula hicho?

Wewe ukiona haikugusi jua hauhusiki na haikuhusu,wapo watu (tena wengi tu) walioguswa na ndiyo hao inawahusu,uamuzi ni wako kama mzazi na wa Magufuli kama mzazi pia wapi mwao/mtoto wa Magufuli atasomea

Mnakoelekea mtakuja kuhoji hadi aina ya sabuni anayoogea Magufuli (ni gwanji au medicated)

Ujinga mtupu
 
hoja yako ni ipi hapo,au umejawa majungu tu???kwani hii elimu msingi bila malipo isingekuwa bure watoto wa magufuli wangesomea huko???kwani wewe mtu akipika chakula hana haki ya kusema hajisikii kula na asile chakula hicho???wewe ukiona haikugusi jua hauhusiki na haikuhusu,wapo watu (tena wengi tu) walioguswa na ndyo hao inawahusu,uamzi ni wako kama mzazi na wa magufuli kama mzazi pia wapi mwao/mtoto wa magufuli atasomea,,,,mnakoelekea mtakuja kuhoji hadi aina ya sabuni anayoogea maguli (ni gwanji au medicated),ujinga mtupu
Inaonyesha wao elimu ya bure imekuharibu kufikiri kwako.
 
hueleweki unachoongelea ni kipi aisee,na kama hii ndyo your highest degrees of thinking and critically analysing things basi familia yako ina bahati mbaya sana,,,,,jibu swali langu kwanza je,elimu ingebaki ya kulipia ada kwny shule za umma watoto wa magufuli wangesomea huko??au hawasomei shule za umma sabab ni elimu bila malipo???pang'ang'a wewe
 
Elimu ni maarifa yanayofundishwa toka kizazi kimoja hadi kingine katika kuhama na tabia, mwenendo, ujuzi, maarifa na sayansi ya kubadli mazingira yawe ya manufaa kwa umma.

Huwa najiuliza hii elimu inayosifiwa kuwa ni ya bure.

Kiuhalisia hii sio elimu bure kama wanavyosema maana kuondoa ada haimaanishi elimu ni burebali bila malipo ya ada lakini mambo mengine kama daftari, kalamu, nauli nk mzazi bado anagharikia ila ile elimu ya Nyerere ndio ilikuwa bure maana vyote vililipiwa na serikali. Tuliosoma enzi zile utakumbuka kuna daftari lilisomeka "haliuzwi"

Bado najiuliza hii elimu ya sasa ni watoto wangapi wa vigogo wanasoma hizo shule za elimu bure? Kuanzia rais na viongozi wote wa kisiasa tujue wanavyotunga sheria na mitaala kama ina tija hadi watoto wao wasome katika shule hizi za bure italeta sensi ya kuwa wametuletea vitu vya maana.

Pili hizi shule za bure kuna ndugu wa karibu mfano wake, waume, kaka, dada wa hao viongozi wanafundisha katika shule hizi?

Tatu. Hizi shule kwa elimu inayotolewa inaendana na kasi ya dunia ya teknolojia? Tunachofundiaha kina shabihiana na dunia tuliyopo? Elimu yetu tukienda china, uingereza tunaweza kuapambana nao kwenye uvumbuzi na ajira?

Je vyuoni tuna vifaa vya kisasa vya kufundishia au bado tuko analogy na vifaa vya mwalimu nyerere ndio tinafundishia karne hii? Bado tuna xray wakati wenzetu wana ctscan, mri nk?

Shule zetu za technical zikoje je zinavifaa vya karne hii au bado tuna enzi ya mwalimu ambapo tunawataka wakitoka wajiajiri lakini wao wameajiriwa nawananchi?
Kwani ile ni elimu au ni mauwaji ya kimbali ya elimu (education massacre)......ni limwambia mke angu hata nikifa usiue watoto wetu kielimu kwa kuwapeleka kwenye shule za wana siasa hizo
 
Wewe ndo humjui..... socialist ndo anajenga international airport kijijini kwake?
Mimi sio mkazi na wala sjawahi kufika chato ila kuhusu hili la airport kujengwa chato nadhan pia tungewaza kwanini international airport ilijengwa songwe na siyo mbeya,nadhan watu hawahoji sana kuhusu uwanja wa songwe sabab kikwete aliujenga halafu akawa hatokei songwe,ndo maana kelele ni chache au hazipo kuhusiana na uwanja wa songwe,,,,,,,!kitu msichokijua hii ilikuwa ni mikakati ambayo rais yeyote angetekeleza,hata kama lowassa angepita angeujenga uwanja huu ila kelele zisinhekuwepo sabab yy anatokea monduli,mkizipata sabab za kujengwa uwanja wa songwe mtazipata sabab za chato airport,mnadandia sana visabab vya kijinga visivyo na mashiko
 
Elimu ni maarifa yanayofundishwa toka kizazi kimoja hadi kingine katika kuhama na tabia, mwenendo, ujuzi, maarifa na sayansi ya kubadli mazingira yawe ya manufaa kwa umma.

Huwa najiuliza hii elimu inayosifiwa kuwa ni ya bure.

Kiuhalisia hii sio elimu bure kama wanavyosema maana kuondoa ada haimaanishi elimu ni burebali bila malipo ya ada lakini mambo mengine kama daftari, kalamu, nauli nk mzazi bado anagharikia ila ile elimu ya Nyerere ndio ilikuwa bure maana vyote vililipiwa na serikali. Tuliosoma enzi zile utakumbuka kuna daftari lilisomeka "haliuzwi"

Bado najiuliza hii elimu ya sasa ni watoto wangapi wa vigogo wanasoma hizo shule za elimu bure? Kuanzia rais na viongozi wote wa kisiasa tujue wanavyotunga sheria na mitaala kama ina tija hadi watoto wao wasome katika shule hizi za bure italeta sensi ya kuwa wametuletea vitu vya maana.

Pili hizi shule za bure kuna ndugu wa karibu mfano wake, waume, kaka, dada wa hao viongozi wanafundisha katika shule hizi?

Tatu. Hizi shule kwa elimu inayotolewa inaendana na kasi ya dunia ya teknolojia? Tunachofundiaha kina shabihiana na dunia tuliyopo? Elimu yetu tukienda china, uingereza tunaweza kuapambana nao kwenye uvumbuzi na ajira?

Je vyuoni tuna vifaa vya kisasa vya kufundishia au bado tuko analogy na vifaa vya mwalimu nyerere ndio tinafundishia karne hii? Bado tuna xray wakati wenzetu wana ctscan, mri nk?

Shule zetu za technical zikoje je zinavifaa vya karne hii au bado tuna enzi ya mwalimu ambapo tunawataka wakitoka wajiajiri lakini wao wameajiriwa nawananchi?
Shule nyingi za kata kwa maana za bure wanafunzi wake wanafanya vizuri sana kwenye masomo na hasa kwenye maisha wako very critical makazini kuliko hao mnaowaita English Medium. Tunawaona huku makazini wengi wao wanajua kucopy na kupaste ukimuliza kwanini umefanya hivi hawezi kukupa sababu ya maana wanajua sana kugoogle. Lakini hawa wa kayumba wanafikiri sana kabla ya kufanya kitu ndiyo maana wakijua kitu wanakuwa wamekijua kwelikweli. Hayo ndiyo maoni yangu mkuu!
 
Shule zinawaandaa kufanya kazi maofisini. Mnaposema wajiaajiri wanaenda kujiajiri wapi? Na hiyo elimu imeleta mapinduzi gani katika nchi kwa miaka yote toka uhuru
 
Mimi sio mkazi na wala sjawahi kufika chato ila kuhusu hili la airport kujengwa chato nadhan pia tungewaza kwanini international airport ilijengwa songwe na siyo mbeya,nadhan watu hawahoji sana kuhusu uwanja wa songwe sabab kikwete aliujenga halafu akawa hatokei songwe,ndo maana kelele ni chache au hazipo kuhusiana na uwanja wa songwe,,,,,,,!kitu msichokijua hii ilikuwa ni mikakati ambayo rais yeyote angetekeleza,hata kama lowassa angepita angeujenga uwanja huu ila kelele zisinhekuwepo sabab yy anatokea monduli,mkizipata sabab za kujengwa uwanja wa songwe mtazipata sabab za chato airport,mnadandia sana visabab vya kijinga visivyo na mashiko
Mkuu umenena vizuri sana. Humu wanyama wa serengeti wapo wengi sana ndiyo maana hawafikiri critically. Wanafikiri Rais Magu pekee ndiyo aliamua uwanja wa Chato ujengwe pale wangekuwa wanatumia ubongo wao vizuri wangeushughulisha ubongo wao angalau hata kidogo katika kufikiri hasa katika maswala ya kiusalama wa nchi na raslimali za nchi katika maeneo tajwa!
 
Shule zinawaandaa kufanya kazi maofisini. Mnaposema wajiaajiri wanaenda kujiajiri wapi? Na hiyo elimu imeleta mapinduzi gani katika nchi kwa miaka yote toka uhuru
Mkuu wahenga walisema kwenye miti hakuna wajenzi walikuwa na maana kubwa sana na hiyo ni habit ya binadamu. Huko ulaya ukisoma historia utajua siku za nyuma kulikuwa na nini na kilitokea nini ndiyo hayo unayoyasema maendeleo yakatokea pia huku kwetu Afrika tunapitia njia hiyo hiyo ndiyo maana sehemu zilizo na changamoto zaidi ndiyo zinapata maendeleo zaidi. Ubongo wa binadamu umeumbwa hivyo mkuu bila changamoto ubongo unalala! Kwa maana nyingine watoto wanaopata changamoto ubongo wao unaamuka mapema!
 
Mimi sio mkazi na wala sjawahi kufika chato ila kuhusu hili la airport kujengwa chato nadhan pia tungewaza kwanini international airport ilijengwa songwe na siyo mbeya,nadhan watu hawahoji sana kuhusu uwanja wa songwe sabab kikwete aliujenga halafu akawa hatokei songwe,ndo maana kelele ni chache au hazipo kuhusiana na uwanja wa songwe,,,,,,,!kitu msichokijua hii ilikuwa ni mikakati ambayo rais yeyote angetekeleza,hata kama lowassa angepita angeujenga uwanja huu ila kelele zisinhekuwepo sabab yy anatokea monduli,mkizipata sabab za kujengwa uwanja wa songwe mtazipata sabab za chato airport,mnadandia sana visabab vya kijinga visivyo na mashiko
Umewahi kufika mbeya ?

Mbeya ni mji wa kibiashara acha kuifananisha na Chato.

Halafu ikumbukwe ule uwanja ulijengwa kabla ya Songwe kutenganishwa na mbeya. So before ule uwanja ilikuwa mkoa wa mbeya.
 
Mkuu hujamuelewa think critically!!
 
Kule Tanganyika hata wanafunzi kumiliki simu ni kosa la jinai!

Wanafunzi wanatakiwa tu kusoma madesa ya nyambari nyangwine!
 
Hapa tunajadili elimu ya tanzania inamanufaa kwa kizazi hiki? Je kama inamanufaa je watoto wa watunga sera wanasoma hizo shule?
 
Elimu ni maarifa yanayofundishwa toka kizazi kimoja hadi kingine katika kuhama na tabia, mwenendo, ujuzi, maarifa na sayansi ya kubadli mazingira yawe ya manufaa kwa umma.

Huwa najiuliza hii elimu inayosifiwa kuwa ni ya bure.

Kiuhalisia hii sio elimu bure kama wanavyosema maana kuondoa ada haimaanishi elimu ni burebali bila malipo ya ada lakini mambo mengine kama daftari, kalamu, nauli nk mzazi bado anagharikia ila ile elimu ya Nyerere ndio ilikuwa bure maana vyote vililipiwa na serikali. Tuliosoma enzi zile utakumbuka kuna daftari lilisomeka "haliuzwi"

Bado najiuliza hii elimu ya sasa ni watoto wangapi wa vigogo wanasoma hizo shule za elimu bure? Kuanzia rais na viongozi wote wa kisiasa tujue wanavyotunga sheria na mitaala kama ina tija hadi watoto wao wasome katika shule hizi za bure italeta sensi ya kuwa wametuletea vitu vya maana.

Pili hizi shule za bure kuna ndugu wa karibu mfano wake, waume, kaka, dada wa hao viongozi wanafundisha katika shule hizi?

Tatu. Hizi shule kwa elimu inayotolewa inaendana na kasi ya dunia ya teknolojia? Tunachofundiaha kina shabihiana na dunia tuliyopo? Elimu yetu tukienda china, uingereza tunaweza kuapambana nao kwenye uvumbuzi na ajira?

Je vyuoni tuna vifaa vya kisasa vya kufundishia au bado tuko analogy na vifaa vya mwalimu nyerere ndio tinafundishia karne hii? Bado tuna xray wakati wenzetu wana ctscan, mri nk?

Shule zetu za technical zikoje je zinavifaa vya karne hii au bado tuna enzi ya mwalimu ambapo tunawataka wakitoka wajiajiri lakini wao wameajiriwa nawananchi?

Kunywa Bia wewe, achana na mambo ya Elimu Bure. Hayatakusaidia kitu!
 
Umewahi kufika mbeya ?

Mbeya ni mji wa kibiashara acha kuifananisha na Chato.

Halafu ikumbukwe ule uwanja ulijengwa kabla ya Songwe kutenganishwa na mbeya. So before ule uwanja ilikuwa mkoa wa mbeya.
hivi umenielewa nilichokiandika au umekuja kwa kukurupuka tu ili kuonesha ulivyo tupu kichwani???swali ni kwann uwanja ujengwe songwe nje na mbeya mjini wakati mbeya ndiyo mji wa kibiashara???katika hoja yangu umeona sehem nimeifananisha mbeya na chato???unadhani nilikuwa na sabab zingine tofauti na za kibiashara zilizopelekea uwanja wa songwe ujengwa nje ya mji wa mbeya wakati mbeya ndyo mji wa kibiashara???
 
Elimu ni maarifa yanayofundishwa toka kizazi kimoja hadi kingine katika kuhama na tabia, mwenendo, ujuzi, maarifa na sayansi ya kubadli mazingira yawe ya manufaa kwa umma.

Huwa najiuliza hii elimu inayosifiwa kuwa ni ya bure.

Kiuhalisia hii sio elimu bure kama wanavyosema maana kuondoa ada haimaanishi elimu ni burebali bila malipo ya ada lakini mambo mengine kama daftari, kalamu, nauli nk mzazi bado anagharikia ila ile elimu ya Nyerere ndio ilikuwa bure maana vyote vililipiwa na serikali. Tuliosoma enzi zile utakumbuka kuna daftari lilisomeka "haliuzwi"

Bado najiuliza hii elimu ya sasa ni watoto wangapi wa vigogo wanasoma hizo shule za elimu bure? Kuanzia rais na viongozi wote wa kisiasa tujue wanavyotunga sheria na mitaala kama ina tija hadi watoto wao wasome katika shule hizi za bure italeta sensi ya kuwa wametuletea vitu vya maana.

Pili hizi shule za bure kuna ndugu wa karibu mfano wake, waume, kaka, dada wa hao viongozi wanafundisha katika shule hizi?

Tatu. Hizi shule kwa elimu inayotolewa inaendana na kasi ya dunia ya teknolojia? Tunachofundiaha kina shabihiana na dunia tuliyopo? Elimu yetu tukienda china, uingereza tunaweza kuapambana nao kwenye uvumbuzi na ajira?

Je vyuoni tuna vifaa vya kisasa vya kufundishia au bado tuko analogy na vifaa vya mwalimu nyerere ndio tinafundishia karne hii? Bado tuna xray wakati wenzetu wana ctscan, mri nk?

Shule zetu za technical zikoje je zinavifaa vya karne hii au bado tuna enzi ya mwalimu ambapo tunawataka wakitoka wajiajiri lakini wao wameajiriwa nawananchi?
Fanya kazi mzee upate pesa watoto uwapeleke shule za kulipia aisee.....
 
Back
Top Bottom