Inahusu watu wote ila walimu kwa idadi kubwa zaidi.Mimi nadhani hii inawahusu watu wote wa zamani na sio walimu pekee.
nakwede97 pale juu kasema wanaishi kwa nidhamu sana kwa sababu wana kipato kidogo na wewe hapa unasema hawaonekani kuzeeka kwa sababu ya kipato cha uhakika. Jibu sahihi ni lipi?
Kabisa,, lakini hawa wa kilimo chaWale wa zamani enzi zetu, waliokua na wito ndio hawazeeki.
Nadhani baadhi hawataki kuishi ndani ya uhalisia wa kipato.😁😁 Ila mwalimu kukopa kausha damu ni jambo la aibu sijui kwa nini hata wanaamua kujidhalilisha hivi
Kwani zoezi ni kitu gani?Hivi mbeba zege lile linahesabika kama zoezi eeh?
Mimi nina maisha magumu kuliko walimu lakini mbona nazeeka 🤣Simple tu maisha yao ni magumu kinyama, wanashindia mihogo na viazi , wanatembea umbali mrefu kuepuka nauli za pikipiki na bajaj sasa kisukari na pressure wanakipata saa ngapi? Ukienda TRA utakuta nido , jam na makorokoro mengi walimu chakula Chao cha kwanza ni saa 8 akitoka job, jaribu na wewe hutozeeka
kweli kabisaaWanatakiwa kujua kuwa nobody cares about them. Wanajitesa tu wenyewe na familia zao
Well, kingine ni suala zima la Ulevi na ulaji, Wanajeshi wanaishi muda mrefu sababu ya mazoezi na walipaswa wawazidi Waalimu, ila mie naona kama Wanajeshi wamalizwa zaidi na Pombe wanazokunywa kupita kiasi na magonjwa yanayoambatana na pombe hizoNadhani hii inawahusu pia watu wa afya pia hasa wauguzi maana nao kazi zao zinahusisha kutembeatembea, watu wa kwenye majeshi pia walitakiwa ndio wawe wanaongoza kwa 'kutokuzeeka'. Kwa nini walimu tu?
Hawa waalimu wenye kausha damu kila kona mbona wanazeeka tu
Asante kwa maelezo mazuri mkuuWell, kingine ni suala zima la Ulevi na ulaji, Wanajeshi wanaishi muda mrefu sababu ya mazoezi na walipaswa wawazidi Waalimu, ila naona kama Wanajeshi wanamalizwa zaidi na Pombe wanazokunywa kupita kiasi na magonjwa yanayoambatana na pombe
Ukikuta Mwalimu mlevi kupita kiasi ni nadra sana kwsbb anapaswa kudamka mapema kuingia class halafu na codes of Conduct au Haiba ya Ualimu inamfanya aogope kufanya mambo flan flan km kulewa sana...kwa Majeda hilo halipo
Ni mtazamo wangu lakini 🤣
Lifestyle ndio sababu
😁😁 Ila mwalimu kukopa kausha damu ni jambo la aibu sijui kwa nini hata wanaamua kujidhalilisha hivi
Ni kweli aisee, mwl anayefanya kazi yake kwa wito ameridhika 100%Habari wanajukwaa.
Nimekuwa nikisikia hii kauli mara nyingi kuwa walimu hawazeeki tena wanasema hasa wa shule ya msingi, kwa sehemu mimi pia nilikuwa naiamini ila nadhani haina ukweli. Nitaelezea kwa mtazamo wangu na uzoefu wangu kwa nini nafikiria hivyo.
Ipo hivi, mtoto mdogo hasa wa shule ya msingi hawezi kuwatofautisha watu wazima kwa umri - kwake mtu mzima ni mtu mzima tu bila kujali ana miaka 25, 35 au 45 wote wapo kundi moja tu. Tulipokuwa shule tulifundishwa na walimu wenye umri tofauti ila sisi tuliwaweka kundi moja tu.
Let's say mwalimu alikufundisha akiwa na miaka 25, ukikutana naye baada ya miaka 20 atakuwa na miaka 45 na wewe utaona kama yuko vilevile kwa sababu huko nyuma tayari ulishamweka kwenye kundi moja na watu wenye miaka 45.
Nitatoa mfano mmoja, nina ndugu yangu mwalimu alianza kazi akiwa na miaka 20 mwaka 1989, ukikutana na wanafunzi wake utasikia hivi yule si alishastaafu eeh? Ukiwaambia bado wanashangaa inawezekana vipi 😁😁... Kwa sababu walikuwa wadogo walishindwa kung'amua kuwa alikuwa binti mdogo tu ambaye wengine pengine walikuwa wanamkaribia kiumri.
Mimi pia niliwahi kufundisha mahali fulani (of course sio wafundishwaji wote waliojua kuwa nilikuwa mwalimu wa mchongo). Imepita miaka kama kumi na tano nimekutana na mmojawapo wa watu niliowafundisha anaanza kuleta stori za walimu hawazeeki 😁😁 girl, I was literally 21 kipindi na kufundisha, baada ya miaka 15 ulitegemea kunikuta nimeshika mkongojo ama namna gani?
Ukitaka kujua kuwa ninachosema ni ukweli angalia walimu ambao wapo kwenye rika lako , wanafanana kabisa na umri wao na tunazeeka nao sambamba tu 😁
Yapi maoni yako mdau
Wahasibu wanazeeka mapema sana