Hii dhana kwamba walimu hawazeeki ina ukweli wowote?

Sababu uliyotoa ni ukweli mtupu kwa 100% na kwa kuongezea tu ni kwamba walimu hawazeeki haraka kwa sababu kazi yao ni less stress compared na zingine, watu wa kuridhika, nidhamu na kujiheshimu.
Mwl akisha peleka watoto wake Shule, na Pembeni ana kashamba kake Ka mahindi na Mihogo ana enjoy maisha na Mke wake.

Tuje Sisi wengine sasa, mpaka uje ununue gari jasho lake Tu tayari ushapata makunyanzi😂😂
 
Habari wanajukwaa.
Nimekuwa nikisikia hii kauli mara nyingi kuwa walimu hawazeeki tena wanasema hasa wa shule ya msingi, kwa sehemu mimi pia nilikuwa naiamini ila nadhani haina ukweli. Nitaelezea kwa mtazamo wangu na uzoefu wangu kwa nini nafikiria hivyo.

Ipo hivi, mtoto mdogo hasa wa shule ya msingi hawezi kuwatofautisha watu wazima kwa umri - kwake mtu mzima ni mtu mzima tu bila kujali ana miaka 25, 35 au 45 wote wapo kundi moja tu. Tulipokuwa shule tulifundishwa na walimu wenye umri tofauti ila sisi tuliwaweka kundi moja tu.

Let's say mwalimu alikufundisha akiwa na miaka 25, ukikutana naye baada ya miaka 20 atakuwa na miaka 45 na wewe utaona kama yuko vilevile kwa sababu huko nyuma tayari ulishamweka kwenye kundi moja na watu wenye miaka 45.

Nitatoa mfano mmoja, nina ndugu yangu mwalimu alianza kazi akiwa na miaka 20 mwaka 1989, ukikutana na wanafunzi wake utasikia hivi yule si alishastaafu eeh? Ukiwaambia bado wanashangaa inawezekana vipi 😁😁... Kwa sababu walikuwa wadogo walishindwa kung'amua kuwa alikuwa binti mdogo tu ambaye wengine pengine walikuwa wanamkaribia kiumri.

Mimi pia niliwahi kufundisha mahali fulani (of course sio wafundishwaji wote waliojua kuwa nilikuwa mwalimu wa mchongo). Imepita miaka kama kumi na tano nimekutana na mmojawapo wa watu niliowafundisha anaanza kuleta stori za walimu hawazeeki 😁😁 girl, I was literally 21 kipindi na kufundisha, baada ya miaka 15 ulitegemea kunikuta nimeshika mkongojo ama namna gani?

Ukitaka kujua kuwa ninachosema ni ukweli angalia walimu ambao wapo kwenye rika lako , wanafanana kabisa na umri wao na tunazeeka nao sambamba tu 😁

Yapi maoni yako mdau
Mwenzetu

Mwenzetu ulikuwa zezeta nini kuwa MTU wa miaka 45 na20 kwako walikuwa SAWA tu ... Walimu hawazeeeki na ni research
 
Sawa mama yangu.... Of course wewe ndio unaikumbuka siku uliyoingia leba
Yani wewe ni kibibi kikongwe, sasa kama ulifanya kazi ukiwa na 21 ikapita miaka 15 neans you're 36 hamna hamna wewe ni wa 83 -85 si bibi wewe

BIBI ushapata wajukuu
 
Kwani kuwa bibi ni dhambi mkuu?
Soma Mwanzo 27:1-2 Kama wewe ni Mkristo vipi bado unaona vizuri Bibi? Ladha ya chakula bado unaihisi?

Karibu Muhimbili kitengo cha magonjwa yasiyo yakuambukiza miaka 40+ ni matatizo huanza
 
Sawa mkuu nitakaribia
 
Ipo hivi, mtoto mdogo hasa wa shule ya msingi hawezi kuwatofautisha watu wazima kwa umri - kwake mtu mzima ni mtu mzima tu bila kujali ana miaka 25, 35 au 45 wote wapo kundi moja tu. Tulipokuwa shule tulifundishwa na walimu wenye umri tofauti ila sisi tuliwaweka kundi moja tu.

Let's say mwalimu alikufundisha akiwa na miaka 25, ukikutana naye baada ya miaka 20 atakuwa na miaka 45 na wewe utaona kama yuko vilevile kwa sababu huko nyuma tayari ulishamweka kwenye kundi moja na watu wenye miaka 45.
Ukweli mtupu ,mtoto wa std I akimuona mwanafunzi wa STD 7 anamuona mkubwa ,the same mwanafunzi wa primary anamuona teacher ni mkubwa coz hajui umri wake ni gani ,kumbe kama ulivyosema labda teacher ana 24-28 ,kwahiyo akija kukutana naye miaka 18 ijayo kweli atamkuta ana 42-46 ambapo ni umri wa kawaida wa kina Hemedi Phd ,Umri wa kina Ray Kigosi ,Umri wa Kina Dully.

Kuna mtu pia alishawahi kuleta uzi humu ndani akasema mbona wachezaji wazamani walikuwa na miili mikubwa kuliko wachezaji wa sasa? Jamaa alitoa jibu ambalo lilikuwa KONKI sana ,alimjibu kwamba wakati unawaona hao wachezaji wewe ulikuwa mdogo hivyo uliwaona wana miili mikubwa ukicompare na wewe(mtoto) lakini kwasasa ushakuwa Mkubwa(una mwili mkubwa) so wachezaji ambao wanasajiliwa wanakuwa wana age zilezile walizokuwa nao hao wa zamani ,kwakuwa wewe ushakuwa mkubwa above 30 unawaona wachezaji wa sasa 25 wana miili midogo.

The same wakati naanza kuona video za kalapina(mstali wa mbele),Treach(Feel me flow na mchain wake shingoni) au 50 cent enzi zinatoka nilikuwa nawaona MIPANDE ya mibaba ila kwasasa nikiangalia video zao zile zile naona mbona jamaa wana miili midogo tu ya kawaida hahahahaa.
 
Itabidi mwakani nikasome ualimu wa gregi a ili nisizeeke mapema, niwe napiga makelele na wanafunzi.
 
Barikiwa kwa mchango wako mkuu.
 
Mimi nadhani hili suala linashabihiana na nasaba ya mtu mwenyewe na wala halihusiani na profession yake......

Kuna watu Mungu amewajaalia "dongo" zuri Sana na kuna watu wamejaaliwa dongo baya....

Kuna mwaliimu alinifundisha shule ya msingi kuanzia la kwanza mpaka la saba alimfundisha na mama yangu mzazi.......alishastaafu miaka mingi lakini ukimuona bado ana nguvu na mkakamavu
 
Back
Top Bottom