Kama huyo ndugu yangu niliyemtaja kwa miaka aliyokaa kazini amefundisha bibi mpaka mjukuu.Mimi nadhani hili suala linashabihiana na nasaba ya mtu mwenyewe na wala halihusiani na profession yake......
Kuna watu Mungu amewajaalia "dongo" zuri Sana na kuna watu wamejaaliwa dongo baya....
Kuna mwaliimu alinifundisha shule ya msingi kuanzia la kwanza mpaka la saba alimfundisha na mama yangu mzazi.......alishastaafu miaka mingi lakini ukimuona bado ana nguvu na mkakamavu