Una uhakika hakuambiawa ajenge hivyo? Lami zipo za aina nyingi zikitofautiana ubora ,mwenye barabara anaamua ajenge aina ipi kutokana na bajetiHiyo layer ya lami ni hardly 2.5cm thick. Aliyejenga hiyo barabara anastahili kuozea jela au apigwe shaba kama wanavyofanya China.
Hiyo ni AI Mkuu
Pole sana mkuu.Mkuu sisahau hii njia..nashukuru tuko wazima
Si kweli, kipande cha DAREDA-Babati-Magugu hakina shida. Ni kipande bora sana..Upo Nchi Gani Mkuu
Kuanzia Mpaka Wa Mkoa Wa Singida Kwenda Manyara Ni Mahandaki Mpaka Babati
Bora Upite Dodoma Mpaka Babati
Hakuna cha ukarabati tena kwenye hiyo barabara. Inatakiwa ifumuliwe yote. Bora umethibitishia walimwengu niliandika hapa kuhusu kichefchef cha hiyo barabara. Ni ya hovyo mno.Wafanye hivyo aisee
Taarifa zinaeleza ni ksmpuni ya wachina imejenga.Hiyo layer ya lami ni hardly 2.5cm thick. Aliyejenga hiyo barabara anastahili kuozea jela au apigwe shaba kama wanavyofanya China.