Juzi tanroads imeripoti kuendelea na ukarabati wa barabara hiyo
Comment Boraunakuta yanaziba viraka badala ya kuichongo upya kama ile ya chuga bypass kwenda moshi
Kibaya Zaid unakuta kabisa kuna engineer anasimamia uzibaji wa viraka kwenye lami mbovu.. wanaziba vizuri zikipita tandamu 100 mfululu ndani ya mwezi mmoja kiraka kimefumuka na kimeongezeka.Comment Bora
Hiyo Barabara Ifumuliwe Upya Ijengwe
Wafanye hivyo aisee
ngoja nikacheki clip yao, maana nilisoma tu titleunakuta yanaziba viraka badala ya kuichongo upya kama ile ya chuga bypass kwenda moshi
Mara Zote Unauliza KwanzaNimebugi sana
Hiyo layer ya lami ni hardly 2.5cm thick. Aliyejenga hiyo barabara anastahili kuozea jela au apigwe shaba kama wanavyofanya China.Aisee, Hakuna haja ya kuweka vibao vya 50. View attachment 3693033
Ile itawekwa lami 2050.Vipi ile ya kutoka Narco kuelekea kondoa via kiteto?