Hii barabara ya Singida - Babati ni takataka.

Hii barabara ya Singida - Babati ni takataka.

Mkuu Mad Max...kuna vipande vya Dom-Iringa,Huko ulikopita na Igawa-Tunduma(Nipo huku sasa) tokea Same-Mbeya-Tunduma.
Hizi barabara kama huendeshi kwa kutumia akili ni za moto mno zinaogopesha.
 
Kuna barabara Nchi hii saivi isiyo na mashimo?

DSM - Mtwara ipo hivyo hivyo
Igawa - Tunduma hivyo hivyo
Iringa - Dodoma hivyo

Yaani utasema Kuna mradi wa kufuga samaki kwenye hizo barabara Serikali ina mpango wa kufanya mwezi ujao wa mvua 🙌
 
Back
Top Bottom