mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,440
- 138,231
Duh ! Hiyo barabara narco matui,kiteto,kondoa unataka kusema mpaka sahv haijawekwa mkekaHiyo mbona nzuri.Yaani Mad Max unatumia sedan kwenye barabara za kiwilaya na unalalamika?
Vipi ile ya kutoka Narco kuelekea kondoa via kiteto?
Kiufupi muanzia madiwani hadi wakuu wa mikoa ya SINGIDA,DODOMA,MANYARA na ARUSHA MATAKO YAO.
Ova