Tanki
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 491
- 189
Wakuu, nina adobe photoshop CS6. Hii ina size ya MB 73 tu. Inafanya kazi vema tu. Niliidownload kutoka kwa muhindi fulani huko Youtube. Sasa nikitafuta adobe nyingine naona ipo yenye size ya GB 1 na ushee hivi. Sasa naomba kuuliza, hii yangu ya MB 73 ni feki au tofauti na hii yenye size kubwa ni ipi?
Naomba kuwasilisha wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuwasilisha wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app