Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,715
- 39,800
nime install kwangu folder lipo kama hiviHapana,ilivyokuja ndo hivyo hivyo
na file lenyewe la photoshop lipo kwenye subfolder la app kama hivi
install tena safari hii specify kwenye folder jengine kama music ama pictures ili uwe na uhakika kabisa