Hi jf members

Cantalisia

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,222
2,929
Hi brothers and sisters,am a new member, natarajia sapoti kutoka kweni wakuu,nimeamua kujiunga baada ya kugundua JF ni "stress remover" kwa aina zote za stress dunia,
naomba kuwasilisha.
 
Unakaribishwa kwa tahadhari kubwa_maake tunajua 4 sure magamba wamewatuma watu wao....ebu thibitisha kama wewe si mmoja wao!
 
Mkuu mie sio magamba bwana, niko humu kwa raha zangu tu mkuu toa hofu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom