Hi every one:)

jamani ntakumissssss mbaya,hebu niambie hapa waondoka saa ngapi?au tuchat ile midnight yetu coz hapa natafuta mvinyo wa church,,nasononeka ujue

ni ki log off hapa sasa ndo kimoja hivyo..
TF atakupa story
 
hivi kumbe bado unani viziaga ae hahahaha lol
imani inahimiza upendo nami ninalazimika kutoa upendo ili niupate uzima wa milele . sjui hii aya ni matayo mstari wa ngapi nimesahau kidogo . wiselady ataweka mistari sawa
 
imani inahimiza upendo nami ninalazimika kutoa upendo ili niupate uzima wa milele . sjui hii aya ni matayo mstari wa ngapi nimesahau kidogo . wiselady ataweka mistari sawa

hahahahahahahahha lol
oohh dear yaani ntakavyokumiss wewe
na vichekesho vyako mmmhhh
nakosa raha lol
 
usitusahau zawadi, au unakwenda malawi wewe kuenforce ile sheria mpya?

ahahahahah lol
ngoja nikawasaidie mkuu
naoa wanaoneana sana

Rev anakuja ajili ya maombi labda Wiselady ataenda ajili ya kuungamisha watu..
mimi nimeanza kufunga kuanzia leo maana nilika tu lazima nitoe unwanted air hahahhah lol
 
imani inahimiza upendo nami ninalazimika kutoa upendo ili niupate uzima wa milele . sjui hii aya ni matayo mstari wa ngapi nimesahau kidogo . wiselady ataweka mistari sawa

mistari ntamwandikia kny shairi la welcome back babe afro
 
hahahahahah umeona na signature ya TF ae lol

yeah im gona miss u my Klorokwin nikiumwa tu narudi hahahahah lol
maana sipaamini sana Malawi lol

hehehe all ze best , tutahakikisha tunapitia profile yako kila weekend bila sababu ya msingi ili kudumisha udugu wa ujamaa na kujitegemea.
 
mistari ntamwandikia kny shairi la welcome back babe afro

hahahahah lol
asante sana dear ni miezi kazaa tu ntarudi lol
jamani jamani ahhh sina raha sijui ni kwa nini...
ni kama vile nawaaga watu ninao waona..
halafu nimewaaga TF, Klorokwin na Wiselady tu ...
kwa sababu ndo ambao wako macho mapka sasa hahah
 
hehehe all ze best , tutahakikisha tunapitia profile yako kila weekend bila sababu ya msingi ili kudumisha udugu wa ujamaa na kujitegemea.

hahahahah lol
weekend uanvituko wewe
haya bwana ntafurahi sana my dear
 
Happy Easter an Happy Valentine day to all
and Goodby I love you all so so much..
u gonna make me cry Wiselady and Klorokwin....
log off for good now
mmmmwwwwwaaaahhh

AD LOVE JF and ALL MEMBERS
SHE WILL MISS U A LOT
AND SHE LOVES U SO MUCH
STAY IN PEACE
AND LOOK AFTER EACH OTHER...
mmwwaaahhhhh

Similar Discussions

Back
Top Bottom