Hey chit-chat, I'm back again!!

karibu sana mkuu Pombekali
tupo familia ya chit chat ikiongozwa na mkuu wao Asprin, Bishanga jitu la fedha na majigambo kuna mzee wa wake za watu na ngeu zisizoisha za kuwania wake za watu Erickb52 , mzee wa bottle Arushaone na mwezake Kaizer, lawyer asiye na ofisi Ruttashobolwa, mzee wa kuchungulia visivyochunhuliwa Baba V na Vin Diesel, upande wa siasa kuna @st paka mweusi, Filipo japo kahamia chit chat kwa sasa, Katavi na mzee wa story za ijumaa Mtambuzi na wenzake akina Safari_ni_Safari na Mkirua warembo wetu gfsonwin, snowhite, Kaunga, Blaki Womani, Preta, King'asti, Yummy, cacico, AshaDii, beibe nasty, charminglady, Ciello, sweetlady na Kongosho
 
Last edited by a moderator:
basi hakuna swali, kweli we Erickb52 ni kiboko, kumbe mkwara wote aliokuwa anaonesha hapa Kipipi ilikuwa zuga tu kaingia line!!!? Duh


heheheheeeee..........huyo Erickb52 alie tu!
Alafu naona ameshaanza kujisemesha eti atanitema. . .as if ana sumaku ya kuninatisha mie!

Hellooooow. . .
 
Last edited by a moderator:

Good. . .
Mpe na juice ya nyanya!
 
Nakerwa na tabia ya kusafiri na mifugo pamoja na binadamu kwenye basi.9
 
Mi nipo tu naona watu wanavyomshobokea Erickb52 mi nilimwambia hapana nilikuwa busy natafuta namna ya kumtuliza mtu nimeipata sasa hivi yupo ndani ya chupa ndo mana hamumuoni

Huyo atakuwa feki, halisi ninate mie nimemtuliza chumbani twajilia vyetu
 

Yaliyojiri ni sisi kunywa pombe laini baada ya POMBEKALI kukosekana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…