Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,907
Kweli mkuu, ni vizuri tupate suluhisho la hilo tatizo alilolielezea jamaa hapo juu kuhusu confusion ya transaction ID ya Vodacom na ya HESLBJE KUNA ALIE LIPA IKAKUBARI KUFUNGUKA???
Kweli mkuu, ni vizuri tupate suluhisho la hilo tatizo alilolielezea jamaa hapo juu kuhusu confusion ya transaction ID ya Vodacom na ya HESLBJE KUNA ALIE LIPA IKAKUBARI KUFUNGUKA???
Mimi nimelipia sahizi sa 3 na dakika 15! Nimeingiza wameniambia Transaction ID does not Exist lakini wameniambia Nisubiri baada ya Saa moja Au masaa Mawili kisha nijaribu tena kwasababu M-PESA wanakuwa hawajafoward malipo kwa HESLB so sina wasiwasi nawasubiri hapa Sa 5 na nusu nitakuja kuwapeni mrejeshoKweli mkuu, ni vizuri tupate suluhisho la hilo tatizo alilolielezea jamaa hapo juu kuhusu confusion ya transaction ID ya Vodacom na ya HESLB
Sawasawa mkuu, tunasubiri mrejesho.Mimi nimelipia sahizi sa 3 na dakika 15! Nimeingiza wameniambia Transaction ID does not Exist lakini wameniambia Nisubiri baada ya Saa moja Au masaa Mawili kisha nijaribu tena kwasababu M-PESA wanakuwa hawajafoward malipo kwa HESLB so sina wasiwasi nawasubiri hapa Sa 5 na nusu nitakuja kuwapeni mrejesho
Nashukuru sana mkuu kwa kunitakia kila la heri sio kama wale wanaokatisha wenzao tamaa na kusema arts ni non-priority kwaiyo hatuwezi tukapata hata kama tukisoma education!wakimaanisha tusiapply kweli kuna watu ambao hawatakii wenzao mafanikio katika maisha.Fanya vyovyote vile inavyokupendeza ila uhakikishe kabla ya SAA tano na dakika 59 usiku ya tarehe 31 mwezi wa saba uwe tayari UMEKAMILISHA KUOMBA MKOPO. Kila la heri.
Hawezi kuona kama Haujalipia ila kwa kawaida ni muhuli wa mahakamani,serikali ya kijiji,academic cerficate form 4,cheti cha kuzaliwa,kitambulisha cha mpiga kura cha mdhamini,passport zako na za mdhamini!Mkuu @ndiowalewale tafadhali tujuze vitu muhimu vinavyohitajika kwenye zoezi la kuapply hapa nina maana ya ni vyeti vipi na vikiwa na muhuri wa wapi na mambo mengine kama hayo.
Tafadhali
Ipi mbona inafunga vizuri tuuMbona link yenyewe haifunguki?
Hawezi kuona kama Haujalipia ila kwa kawaida ni muhuli wa mahakamani,serikali ya kijiji,academic cerficate form 4,cheti cha kuzaliwa,kitambulisha cha mpiga kura cha mdhamini,passport zako na za mdhamini!
Mbona link yenyewe haifunguki?
Imefungukaaa???? Na hiyo form nacho jua una iprint!Mbona ukienda kwny kuupload pcha ya mwombaji na mdhamin inakataa
(the upload destination folder does not appear to be writable)
aleyefanikisha anipe maelekzo hpo cha kufnya!
Kufunguka tyar ila hpo ndo panaznguaImefungukaaa???? Na hiyo form nacho jua una iprint!
Hiyo Form ni ya kuprint ni vichache unavyo jazia pale imekuchukua mda gani toka ulivyo lipiaKufunguka tyar ila hpo ndo panazngua
Mkuu Vipi Mbona Hujatupa Mrejesho?Mimi nimelipia sahizi sa 3 na dakika 15! Nimeingiza wameniambia Transaction ID does not Exist lakini wameniambia Nisubiri baada ya Saa moja Au masaa Mawili kisha nijaribu tena kwasababu M-PESA wanakuwa hawajafoward malipo kwa HESLB so sina wasiwasi nawasubiri hapa Sa 5 na nusu nitakuja kuwapeni mrejesho
Ahsante mkuuAtapata ili mradi awe amefikisha cutoff point husika za chuo!
Kwani Mkuu Kuna Kipengele Cha Kuapload Picha??Mbona ukienda kwny kuupload pcha ya mwombaji na mdhamin inakataa
(the upload destination folder does not appear to be writable)
aleyefanikisha anipe maelekzo hpo cha kufnya!