HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

Wakuu kila nikipiga namba waliyoiweka pale kama ya msaada (online support) ambayo ni +255 22 5507910 naambiwa namba ninayopiga SIO SAHIHI. Kama kuna yeyote ana njia mbadala ya kuwafikia hawa watu ili tupate ufafanuzi zaidi juu ya hili basi tusaidiane. Na pia kama imeanza kukubali pia toa taarifa hapa tusonge.
Sharing is caring.
Asanteni.
 
Je nikisema niapply baada ya matokeo kwani si hamna shida kwa sababu matokeo si yanatoka hivi karibuni

Fanya vyovyote vile inavyokupendeza ila uhakikishe kabla ya SAA tano na dakika 59 usiku ya tarehe 31 mwezi wa saba uwe tayari UMEKAMILISHA KUOMBA MKOPO. Kila la heri.
 
Wakuu kila nikipiga namba waliyoiweka pale kama ya msaada (online support) ambayo ni +255 22 5507910 naambiwa namba ninayopiga SIO SAHIHI. Kama kuna yeyote ana njia mbadala ya kuwafikia hawa watu ili tupate ufafanuzi zaidi juu ya hili basi tusaidiane. Na pia kama imeanza kukubali pia toa taarifa hapa tusonge.
Sharing is caring.
Asanteni.
Mkuu kwani Ukishalipia 30,000 hatua inayofuata pale naenda sehemu gani ili nianze application?

Nimeshaingia kwenye OLAS sasa naenda wapi log in? Au wapi
 
Ushauri wangu Jaribuni kuwapiga watu wa Vodacom
 
Kuna tatizo kwenye length of transaction ID ambayo unapewa na VODACOM baada ya kulipa shilingi elfu 30 kwa MPESA.
Kwa sasa wanatoa ID's zenye tarakimu na namba KUMI (ten figures) mfano 3FQ43PS8R8 wakati wao bodi ya mikopo wanataka ID's zenye figures/characters TISA tu (kama zile za zamani) mfano BC15YC443.
Kwaiyo ukiingiza transaction ID wanakuambia umekosea kwa sababu imezidi NAFASI TISA (exceeded 9 characters). Hilo ndilo nimeliona mimi, na wengine tunaweza tukashea mengine hapa. Hivi nafanya mpango niwapigie.

Nimtakie kila muombaji kila la heri.
Mkuu Guidebook naipataje? Naomba mwelekeo tafadhali.
 
Msaada pls, kwahiyo mkuu stage ya kwanza kabisa ni kulipia sio? Na je baada ya kulipia inafuata procedure ipi katika kuapply?
Ukishalipia Click apply now utaweka Transaction ID utaweka utaweka na form four umesoka miaka gani kuanzia 87 kuja juu au 88 kushuka chini,kuna maneno utayatype pale kisha endelea
 
Mkuu kwani Ukishalipia 30,000 hatua inayofuata pale naenda sehemu gani ili nianze application?

Nimeshaingia kwenye OLAS sasa naenda wapi log in? Au wapi

Unaenda sehemu imeandikwa loan applicants,
then unaclick sehemu iliyoandikwa "Apply for Loan" itakuletea kibox chenye maneno ENTER M-PESA TRANSACTION ID (hapa ndio paliponikwamisha mimi)
utaweka utambulisho wa muamala, kishua utachagua form four exam category (kama umemaliza kabla ya mwaka 1988, au baada ya mwaka 1987 au kama umemaliza nje ya nchi yaani NON NECTA)
Baada ya hapo utaandika herufi unazoziona hapo (codes) for security reasons kisha utabonyeza button iliyoandikwa SUBMIT.
Kama ikiwa successful basi utaendelea na hatua zinazofuata. ila sasa hapo ndipo inakuandikia kwamba EXCEEDED 9 CHARACTERS
 
Back
Top Bottom