Allaxarapha
Member
- Oct 14, 2016
- 66
- 19
FactLissu ulisema haya mapema, usipoguswa leo utaguswa kesho watu wakabaki wanatumbua macho tu..uliomba ushirikiano watu wakabaki kukodoa macho tu.
Leo ametufikia hatujui pakushika, najua umekaa kwenye meza unatushangaa tu. Ngoja turudi nyumbani make pesa inakusanywa na kutunzwa kwa ajili ya kutushonea vazi la taifa na siyo kutukopesha sisi taifa la kesho.