HESLB yajipanga ‘kuwaliza’ wanafunzi vyuo vikuu

HESLB yajipanga ‘kuwaliza’ wanafunzi vyuo vikuu

Hili suala la kujaza dodoso sidhani kama lipo,maana mwanzoni tangazo lilikuwepo kwenye 'website' yao HESLB.
Lakini sasa hivi hakuna tangazo hilo.
 
Andamaneni si mlizoea kuandamana JPM hajaribiwi,tangu JPM kaingia madarakani sijawahi kuona maandamano yeyote hongera sana JPM umerudisha nidhamu.
Anajijaribu kwa kuandika historia yake mwenyewe.
 
Mh. Rais Magufuli.. hii Bodi ya mikopo, ni jipu limeiva, limepasuka, na bado linarudia rudia jipu hili.. plse, do all you can, tumbua na kunyofoa kiini cha HELSB... sbb huwezi hakiki mwanafunzi wa mwaka wa pili, tatu na nne wakati walishapewa mikopo miaka yote..

Cha msingi sana ni kudili na wanaoanza vyuo, wafuate vigezo kwa umakini mkubwa... sio ambao tayari walikuwa wana mikopo, hii itawafukuzisha vyuo wengi kwa kukosa ada, boom etc.. ni hatari sana hii
Acheni unafiki. Magu ndio kinara wa uhakiki hivyo msimtetttee kwa kusema hajui yanayoendelea.
 
Mkurugenzi anashindwa kutamvua kuwa vigezo vilivyo tumika mwaka jana ni tofauti na mwaka huu.

any way naona kila mtu anatafuta wa kumuangushua mzigo
 
Mh. Rais Magufuli.. hii Bodi ya mikopo, ni jipu limeiva, limepasuka, na bado linarudia rudia jipu hili.. plse, do all you can, tumbua na kunyofoa kiini cha HELSB... sbb huwezi hakiki mwanafunzi wa mwaka wa pili, tatu na nne wakati walishapewa mikopo miaka yote..

Cha msingi sana ni kudili na wanaoanza vyuo, wafuate vigezo kwa umakini mkubwa... sio ambao tayari walikuwa wana mikopo, hii itawafukuzisha vyuo wengi kwa kukosa ada, boom etc.. ni hatari sana hii
Mkuu mimi bado hainiingii akilini hiki kinachofanyika hata raisi anakijua kabisa na watajitetea wao waliahidi elimu bure hadi form 4 na si mpaka chuo
 
usijisumbue vigezo vipya ni kwaajili ya mwaka wa kwanza tuu... aliyepost ni kijakazi wa Mbowe
Huyu nae ni kijakazi wa Mbowe?

Taarifa ya Mwananchi online hii hapa:

Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu(HESLB) imesema itaanza uhakiki wa taarifa za wanafunzi wanufaika wanaoendelea na masomo ili kujiridhisha kama wanasifa sitahiki na ambao watakuta hawana sifa watasitishiwa mkopo.

Mkurugenzi wa mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru amesema zoezi hilo litaanza Jumanne na wanafunzi wote watatakiwa kujaza dodoso ambalo litatolewa ambalo litawekwa kwenye mtandao wa bodi hiyo.

"Lengo letu ni kujiridhisha kama wanaonufaika wote kweli wanamahitaji sanjali na kuhakiki orodha yetu upya, katika hilo wale ambao hadhi zao zitaonesha kuwa sio wahitaji watapoteza sifa za kendelea kunufaika na mkopo," alisema Badru.
 
Tunasubiri TANZANIA YA VIWANDA tunaletewa TANZANIA YA UHAKIKI.kwani nani kawapa mikopo hao wanafunzi?
 
Alikua anasemaje mkuu
Kitu kikubwa amechosema nikuwa wanaangalia vipaumbele vya serikali katika sera ya elimu ya 2014, na mpango wa uchumi 2015/2025.Kwahiyo kwa wanaondelea na masomo pia wanaweza kusimamishiwa mkopo endapo wataona kuwa mnufaika hayupo katika vipaumbelee vyao.Pia kasema mkataba wa maombi yamkopo unawapa mamlaka ya kusitisha mkopo endapo wataona mnufaika hastahili kuendelea kupata mkopo kama atakuwa nje ya vipaumbele vyao.
 
usijisumbue vigezo vipya ni kwaajili ya mwaka wa kwanza tuu... aliyepost ni kijakazi wa Mbowe

endelea kuwa na mawazo mgando hata kwa mambo yaliyo na maslah kwa taifa.
mwaka huu udsm(daruso) waliwazuia wanafunz gani wasisain boom,wote walikuwa mwaka wa kwanza...
 
Mimi nafurahi ccm kuwanyosha hawa wanafunzi kila ikifika uchaguzi hawapigi kura,ohoo tulijiandikisha shuleni,hasa mabinti wa kike ni mccm kibao,koma tena koma
 
Waliosoma miaka ya nyuma ndio waliifaid hii bodi lakini toka CCM ilivyoanza Ku force madaraka wamekua wanachota pesa kila sehem ili wafanikishe adhma yao,sasa matokeo yake ndio haya,Mara mifuko ya jamii izuiliwe,madogo waliofukuzwa Udom ndio bas tena,kifupi ni kwamba pesa Hamna,hizo zingine no blah blah
 
Back
Top Bottom