Ingia SIPAYah nimelogin kwenye account yangu naona iko vilevile wait for allocation process au Kuna namna nyingine ya kuangalia
Ingia SIPAYah nimelogin kwenye account yangu naona iko vilevile wait for allocation process au Kuna namna nyingine ya kuangalia
Unazamaje humo kiongoziAingie ktk SIPA
Ngoja nijaribu mkuuIngia SIPA
Hapana acc ni ile ile sema ukiwekewa maokoto inabadilika kua SIPAAingie ktk SIPA
Hii ni sera wote wapate mkuuAlafu naona km stationary na makorombwezo baadhi hawatoi, wengi wanaambulia Tuition fee na Meals and Accommodation bc , hii imekaaje?
Yaah sure kk mi bado haijabadilikaHapana acc ni ile ile sema ukiwekewa maokoto inabadilika kua SIPA
Ww ni first yearYaah sure kk mi bado haijabadilika
picha aifunguki wameandikaje?Wapendwa me hapa shida itakuwa nini mbn Bado Iko hiviView attachment 2787476
Sema wa diploma nao ndio wametuvurugia mambo kiaina Ila sio mby kila mmoja apate nafac ya kusoma mwaka huuHii ni sera wote wapate mkuu
Japo vigezo vIna affect pia
Embu view application statusWapendwa me hapa shida itakuwa nini mbn Bado Iko hiviView attachment 2787476
Wapendwa me hapa shida itakuwa nini mbn Bado Iko hiviView attachment 2787476bado subiri batch 2
Mimi hapaKuna continuous student aliyepata mkopo
Mbona tution fee hawajakupa?
Yah mkuuWw ni first year
Si wana dharau tu hawa wajinga yaani hapa rufaa lazimaMbona tution fee hawajakupa?