Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,770
- 11,227
Vipi mkuu akaunti haijaleta mabadiliko yoyote tofauti na statement ya wait for final results?Nawaza hivyo pia
Vipi mkuu akaunti haijaleta mabadiliko yoyote tofauti na statement ya wait for final results?Nawaza hivyo pia
mpaka sasa SIPA IKO EMPTYVipi mkuu dogo alifanikiwa kupangiwa allocation?
Akaunti ya mhusika hadi muda huu bado ina ujumbe ule ule wa ".... wait for final results".Hujafanikiwa mkuu kupata mkopo?
Ndy mimi hapakuna yeyote pia SIPA haioneshi allocation humu??
duuh kumbe ishu ya wengi tu SIPA ilisoma lini , vp ww ni fresh ama we ni continous?Ndy mimi hapa
ama hujui kuangalia allocationNdy mimi hapa
Iko vilevile final resultsVipi mkuu akaunti haijaleta mabadiliko yoyote tofauti na statement ya wait for final results?
Mkuu una log out na ku login lakini?mpaka sasa SIPA IKO EMPTY
Huwa una logout na ku login?Ndy mimi hapa
yaaah chief account nai manage mm mwenyeweMkuu una log out na ku login lakini?
Namaanisha unafanya kama ku refresh akaunti.
Isije kuwa mzigo amepangiwa lakini akaunti dogo anashindwa ku logout na ku login tena.
Continuous awamu yao bado ni mpaka wamalizane na first year na kwa mujibu wa board ya mkopo hakuna continuous yoyote aliyepata mkopoContinous aliyepata humu
Mbona sijaona Iyo Taarifa Mkuu, nachoona wanaongelea diploma na kukata rufaa tu.Continuous awamu yao bado ni mpaka wamalizane na first year na kwa mujibu wa board ya mkopo hakuna continuous yoyote aliyepata mkopo
Hili waliongea kwenye page yao wakati wanamjibu mmoja wa mtoa commentContinuous awamu yao bado ni mpaka wamalizane na first year na kwa mujibu wa board ya mkopo hakuna continuous yoyote aliyepata mkopo
Nahisi wametukata mwaka huuMbona sijaona Iyo Taarifa Mkuu, nachoona wanaongelea diploma na kukata rufaa tu.
Ata dogo nae kaambiwa hivyo ila yeye ni continuesNaona dogo ninaempambania kakosa mkopo maana kwa sasa notification iliyopo inasema "Online appeal window will be opened from 8th November......".
Itakuwa amekosa maana kwa waliopata kwenye application status kuna ujumbe unaosomeka " Congratulations! You have been allocated loan for the year 2023/2024"Naona dogo ninaempambania kakosa mkopo maana kwa sasa notification iliyopo inasema "Online appeal window will be opened from 8th November......".