Basi sisi unaotupambAnia hatujakatia tamaa rehema za Mungu,tunaisubiri hiyo kesho in shaa Allahmkuu mm nimegraduate before 2020.
saiz nawapambania nyie , kuna dgo hapo juu i feel the same pain
Tunamshukuru sana Mungu kwa yote aliyoyafanya kwa ajili yake.Hongera kapata ada nyingi wengine wanapata 230,000 kwa course hiyo hiyo.
😅😅Hatar warudishie elimu yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata cha kulipa cna, labda niwape bond cheti.
Kwanza hongera zake,View attachment 2801685
Bint yetu alichaguliwa BSNRC pale
MUST, kwenye loan kaambulia kama inavyoonekana hapo kwenye kiambatanisho.
Pole yupo mwaka wa ngap?Toka applications zimeanza naingia na kutoka jamii forum kumpambania mdogo wangu walau kumpa matumaini ya update lakini mpaka sasa hola account haifunguki batch one na two zote hatujapata licha ya kuanbatanisha uthibitisho wa ulemavu wake. Nahisi maumivu makali mno, sijui atajiskiaje nitakapomwambia na batch ya tatu tumekosa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sana.Toka applications zimeanza naingia na kutoka jamii forum kumpambania mdogo wangu walau kumpa matumaini ya update lakini mpaka sasa hola account haifunguki batch one na two zote hatujapata licha ya kuanbatanisha uthibitisho wa ulemavu wake. Nahisi maumivu makali mno, sijui atajiskiaje nitakapomwambia na batch ya tatu tumekosa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Tatzo muda naona umeenda na registration wanataka hela, mhuni ndio nategemea hela ya mkopo nigharamie gharama zte hzUna mchechetoo weyee khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama haukupewa mkopo unawezakupewa ila kama kuongezewa unasubiria mpaka semister ya pili ndo huwa wanaongezaKwani continuous Mwaka hawapati sijaona board ikiwazungumzia
system yao tu ina misbehaveBinti mwingine huyu, akaunti yake muda huu inasoma hivi 👇👇
View attachment 2801803
Ni kilio tu mtaani watoto!!
Zimerudi mambo ninyale yaleAccount zikifunnguka tuambizane
Mbna nirudishee Elimu yao kabisaa.[emoji28][emoji28]Hatar warudishie elimu yao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa mpoleee bhanaa.Tatzo muda naona umeenda na registration wanataka hela, mhuni ndio nategemea hela ya mkopo nigharamie gharama zte hz
[emoji81][emoji81] halafu wanaandika wait for final results hahaha haya banaZimerudi mambo ninyale yale
Wait for final...labda ndo ukweli dogo alishakosa kama mdamu mmoja alivyotanabaisha, kama haijasoma SIPA mpaka leo tufanye mengine.
Sawa mkongwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa mpoleee bhanaa.
Naamini leo mambo yatakuwa mubashara mkuu. Kama umeandikiwa wait for final results obviously lazima wakupe hiyo final results hauwezi kubaki hivyo.[emoji81][emoji81] halafu wanaandika wait for final results hahaha haya bana
Pole yupo mwaka wa ngap?