HESLB: Batch One Out Now

HESLB: Batch One Out Now

Haya maandishi kwakweli mm nshayachoka wakuu, nayafuteje ili nisiyaone tena
20231014_221634459.jpg
 
Tuzidi kuwa wavumilivu , japo kuto kutoa hata notification kwenye account ya mtu wanakosea.

nakumbuka miaka ya nyuma, walikua wana updates kuwa haujapangiwa subiria awamu ijayo
 
Mwakani mkopo utakuwa bora zaidi!
Serikali iliyopo itakuwa inatafuta namna ya kurudi madarakan.
Mimi na PCB yangu nasubiri mwakan.
 
Sema ukipitia page ya HESLB mule Instagram, post za wadau mule ndani unaweza ukacheka hd ukazimia aisee yan watu ni wanahaha balala mixer vilio , matuc
Mimi first year nimeanza 2017 ,bodi ya mikopo ilikua maeneo ya mwenge -mpakani dsm. mtu pekee aliyesaidia sana kupata mkopo alikua abduli nondo otherwise ingekula kwangu
 
Back
Top Bottom