hatedthemost
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 470
- 328
Mpaka sahii bilabilaLeo mbona kivumbi na jasho

Mpaka sahii bilabilaLeo mbona kivumbi na jasho

Hatriiii duuh full stressMpaka sahii bilabila![]()
Awali ilikuw inaandkj
hio S mbona kama ni herufi ndogo
HESLB login leo iko bize sana, binafsi kila baada ya dak 30 nachungulia kule



umenifurahisha sana aiseee,Tulia kwanza, unaingia kwenye mfumo na pressure, angalia hiyo s, ni ndogo
Mm yng mbn ni ndogo na inalogin fresh tuTulia kwanza, unaingia kwenye mfumo na pressure, angalia hiyo s, ni ndogo
TaarifaMzigo tayari!
Nimeingia kwenye akaunti ya mdogo wangu naona tayari.Taarifa
Taarifa
Tutumie screenshotNimeingia kwenye akaunti ya mdogo wangu naona tayari.
Tutumie screenshot
tayari chief??Mzigo tayari!
Hongera sanaNimeingia kwenye akaunti ya mdogo wangu naona tayari.
Saw mkuu naona wengin bado
Bado banatayari chief??
itakua tayari si umeona mshikaji hapo juuBado bana