Herufi R na L ni tatizo kwa Rais wetu, tumsaidie

..asante.

..nimejifunza kuwa tunapaswa kuandika, " vita vya pili vya dunia. "
Sawa Mkuu,.. "Nani kaanzisha vita vya pili Vya dunia" sio "Nani kaanzisha vita YA pili ya dunia"..

"Miaka MiNANE ya maendeleo" sio "Miaka NANE ya maendeleo"..

Hayo ndio baadhi ya makosa sugu ya waandishi wa kiswahili wa humu JF, na baadhi ya Watanganyika..
 
Ni dhahiri kabisa hizi herufi mbili za R na L zinamtatiza sana Raisi wetu, Mara nyingi ktk hotuba zake amekuwa akisikika kabisa kuzikosea yaani sehemu ambayo alitakiwa kutamka neno Reli, yeye atasema Leli, tena kwa kujiamini,. Ktk Msamiati wa kiswahili neno Leli Lina maana tofauti kabisa.

Ni Mara nyingi sana amekuwa akijichanganya kuhusu herufi hizi, kwa Sisi Watanzania tunamvumilia kwa sababu ni mtu wetu, lakini Tatizo linakuja pale tu anapokuwa nje ya Nchi ambapo inabidi aongee lugha ya Kimataifa, kwa English, penye Herufi R ukibadili na kuweka L, automatic huwa inabadili maana nzima ya unachozungumzia. Na wakati mwingine inaweza hata kuwa ni matusi makubwa. Niwaombe Tu Wahusika kwa Roho safi, Wajitahidi sana kumwelekeza namna nzuri ya kutumia hizi herufi ili Mara nyingine tusije kupata aibu Kama hii inayoendelea ktk mitandao huko Zimbabwe . Pls
Utatekwa mkuu
 
Sasa naona mnataka mkuu wa nchi abadilishe lugha ya taifa iwe kisukuma.
 
Lugha yetu ya taifa ambayo tunaifanyia bidii kuisambaza Afrika na nje ya Afrika sisi wenyewe ndiyo tumekuwa wa kwanza kuiharibu.

Tukitaka kukienzi na kukilinda Kiswahili fasaha basi somo la Kiswahili mashuleni liambatane na kufundisha irabu za asili zilizokuwa zikitumika kwa mamia ya miaka kuandika Kiswahili. Si nyingine ni irabu za Kiarabu.

Waliosoma irabu za Kiarabu iwe usukumani au popote pale, wanakuwa hawana shida ya kuzitamka au kuzichanganya R na L.

Mlinda asili ni jasiri.
 
Labda ni kweli sio mtz. Maana warundi, waganda, wanyarwanda wakija tz kiswazi huwapa dhida na hudhindwa kutifautsha R na L katika matamdhi.
 
Ni dhahiri kabisa hizi herufi mbili za R na L zinamtatiza sana Raisi wetu, Mara nyingi ktk hotuba zake amekuwa akisikika kabisa kuzikosea yaani sehemu ambayo alitakiwa kutamka neno Reli, yeye atasema Leli, tena kwa kujiamini,. Ktk Msamiati wa kiswahili neno Leli Lina maana tofauti kabisa.

Ni Mara nyingi sana amekuwa akijichanganya kuhusu herufi hizi, kwa Sisi Watanzania tunamvumilia kwa sababu ni mtu wetu, lakini Tatizo linakuja pale tu anapokuwa nje ya Nchi ambapo inabidi aongee lugha ya Kimataifa, kwa English, penye Herufi R ukibadili na kuweka L, automatic huwa inabadili maana nzima ya unachozungumzia. Na wakati mwingine inaweza hata kuwa ni matusi makubwa. Niwaombe Tu Wahusika kwa Roho safi, Wajitahidi sana kumwelekeza namna nzuri ya kutumia hizi herufi ili Mara nyingine tusije kupata aibu Kama hii inayoendelea ktk mitandao huko Zimbabwe . Pls
Sio rais tu kwani hata humu jf hulioni?
 
Mkuu hayo mambo ya kawaida sana, usukumani hizo herufi zinatamkwa the same, kwa maana nyingne msukuma aloiva hatumii kabisa R bali L na pia usukumani kwa kufata mila za kisukuma hakuna majina yenye herufi ya R bali majina yote yenye mlengo huo yanapoandika kisukuma huwa ni L tu...mfano Mayala, Malando, Kabula, Milembe, Magufuli nk, so kwa kisukuma hakuna R bali kuna L..
"mwabheja bhagosha"
"Ng'wabheja na sio mwabeja"
 
Watu wengi wa kanda ya ziwa hizi herufi mbili wanazichanganya sana mkuu....inaweza kuwa wanaathiriwa na lugha mama
 
Huwezi kupingana na nature na wala huo sio ujinga au kutokujua. Ni asili yake wote wako hivyo mkuu. Ni kawaida sana ilimradi unamuelewa muache tafadhari
 
Back
Top Bottom