Herufi R na L ni tatizo kwa Rais wetu, tumsaidie

M

Major

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2007
Messages
1,867
Points
2,000
M

Major

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2007
1,867 2,000
Ni dhahiri kabisa hizi herufi mbili za R na L zinamtatiza sana Raisi wetu, Mara nyingi ktk hotuba zake amekuwa akisikika kabisa kuzikosea yaani sehemu ambayo alitakiwa kutamka neno Reli, yeye atasema Leli, tena kwa kujiamini,. Ktk Msamiati wa kiswahili neno Leli Lina maana tofauti kabisa.

Ni Mara nyingi sana amekuwa akijichanganya kuhusu herufi hizi, kwa Sisi Watanzania tunamvumilia kwa sababu ni mtu wetu, lakini Tatizo linakuja pale tu anapokuwa nje ya Nchi ambapo inabidi aongee lugha ya Kimataifa, kwa English, penye Herufi R ukibadili na kuweka L, automatic huwa inabadili maana nzima ya unachozungumzia. Na wakati mwingine inaweza hata kuwa ni matusi makubwa. Niwaombe Tu Wahusika kwa Roho safi, Wajitahidi sana kumwelekeza namna nzuri ya kutumia hizi herufi ili Mara nyingine tusije kupata aibu Kama hii inayoendelea ktk mitandao huko Zimbabwe . Pls
 
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Messages
2,420
Points
2,000
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2014
2,420 2,000
Huwezi kupingana na nature na wala huo sio ujinga au kutokujua. Ni asili yake wote wako hivyo mkuu. Ni kawaida sana ilimradi unamuelewa muache tafadhari
Kuna haja ya kufanya overhaul ya mitaala yetu hasa kukazia swala la lugha; Kusoma, kuzungumza na Kuandika!! Watu mbumbumbu kama wewe ni hatari mno!
 
Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Messages
8,175
Points
2,000
Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined Oct 11, 2006
8,175 2,000
Ni dhahiri kabisa hizi herufi mbili za R na L zinamtatiza sana Raisi wetu, Mara nyingi ktk hotuba zake amekuwa akisikika kabisa kuzikosea yaani sehemu ambayo alitakiwa kutamka neno Reli, yeye atasema Leli, tena kwa kujiamini,. Ktk Msamiati wa kiswahili neno Leli Lina maana tofauti kabisa.

Ni Mara nyingi sana amekuwa akijichanganya kuhusu herufi hizi, kwa Sisi Watanzania tunamvumilia kwa sababu ni mtu wetu, lakini Tatizo linakuja pale tu anapokuwa nje ya Nchi ambapo inabidi aongee lugha ya Kimataifa, kwa English, penye Herufi R ukibadili na kuweka L, automatic huwa inabadili maana nzima ya unachozungumzia. Na wakati mwingine inaweza hata kuwa ni matusi makubwa. Niwaombe Tu Wahusika kwa Roho safi, Wajitahidi sana kumwelekeza namna nzuri ya kutumia hizi herufi ili Mara nyingine tusije kupata aibu Kama hii inayoendelea ktk mitandao huko Zimbabwe . Pls
Makabila mengi sana ya kanda ya ziwa yana matatizo hayo!
 
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
14,329
Points
2,000
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
14,329 2,000
Kwa hili namtetea. Wasukuma R na L ni janga. Kwa hili Rais mnamuonea.
umekosea kumtetea mimi ni msukuma pasee najua kutamka R NA L bila tatizo ndo mana nikasema fanya utafiti ujue chimbuko la alikotokea mpaka kuangukia kwa MZEE MAKUFULI na hatimae kumuita BABA
 
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
14,329
Points
2,000
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
14,329 2,000
Unaongelea maada ipi?
Tunaongelea uchapiaji wa kuchanganya herufi wa MALAIKA MKUU.
Lini Magufuli akawa msukuma? Ebu niambie ukoo wa wazila nkende kwa Kisukuma wanapatikana wapi?
Tusidanganyane apa..inaeleweka vizuri watu wenye tatizo la R na L ni Wahaya.
MKUU humu kuna wadangaji wapo kumhalalisha MALAIKA MKUU kuwa ni mtanganyika kumbe ni wa kutoka kuleee kwenye mitutu mingi
 
Forum statistics

Threads 1,324,430
Members 508,686
Posts 32,160,491
Top