Herufi R na L ni tatizo kwa Rais wetu, tumsaidie

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,867
2,000
Ni dhahiri kabisa hizi herufi mbili za R na L zinamtatiza sana Raisi wetu, Mara nyingi ktk hotuba zake amekuwa akisikika kabisa kuzikosea yaani sehemu ambayo alitakiwa kutamka neno Reli, yeye atasema Leli, tena kwa kujiamini,. Ktk Msamiati wa kiswahili neno Leli Lina maana tofauti kabisa.

Ni Mara nyingi sana amekuwa akijichanganya kuhusu herufi hizi, kwa Sisi Watanzania tunamvumilia kwa sababu ni mtu wetu, lakini Tatizo linakuja pale tu anapokuwa nje ya Nchi ambapo inabidi aongee lugha ya Kimataifa, kwa English, penye Herufi R ukibadili na kuweka L, automatic huwa inabadili maana nzima ya unachozungumzia. Na wakati mwingine inaweza hata kuwa ni matusi makubwa. Niwaombe Tu Wahusika kwa Roho safi, Wajitahidi sana kumwelekeza namna nzuri ya kutumia hizi herufi ili Mara nyingine tusije kupata aibu Kama hii inayoendelea ktk mitandao huko Zimbabwe . Pls
 

Lucas philipo

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
1,308
2,000
Praise team watakuja kumtetea. Wao kila jambo wanamtetea hata kama la kijinga.
Wewe na mtoa mada ni hovyp kabisa!!!

Mmesoma shule kweli nyie??? Lugha mlifundishwa???

Mnashindwa hata kuuliza kwa wanafunzi wa kidatp cha nne kuhusu angalau tu hata kujua lahaja ???

Kajifunzeni maana ya Accent!
 

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
6,547
2,000
Akili kisoda vichwa tembo. Hii n athari za kikabila, sasa unajiuliza kuna umuhimu gani wa kwenda shule?
Tatizo lenu mnashikiwa akili. Mnaenda shule lakini ujinga hauwatoki, maskini. Mbona hata wazungu tunawasikia wakisema "garra go now" lakini kimaandishi linaandikwa "got to go now"?. Ama UK wakiongea kama neno lina harufi T kati basi unaweza ukawa usiisikie kabisa T lakini kwenye uandishi T inakuwepo.

Rudi tena shule...
 

Said Stuard Shily

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
1,252
2,000
Usukuma usitumike kama excuse. Akina Pascal Mayalla ni wasukuma humu mbona wanaandika vizuri?
Kuandika na kutamka ni Vitu viwili tofaut kuna kabila linamaprofesa kibao WA kiswahili lkn hawajui kutamka ng'ombe linatamka ngombe nyie Kama mnataka ajenda nyuma ya pazia juu ya awamu ya tano wekeni wazi, acheni kujificha kwenye ukosoaji wa vitu vidogo km Hivi ni ujinga mtupu
 

advent luoga

Senior Member
Oct 6, 2016
103
225
Hayo ni mengine ya kwako Bro, Mimi nazungumzia hizi herufi mbili, L na R. Naomba wahusika wafanye juu chini wahakikishe anaondokana na hili tatizo kwa manufaa na heshima kwa Nchi yetu.
Acha kumsema vibaya rais wetu bwana r na l zinafaida gani kwenye maendeleo ya nchi? Mambo hayo kuwaambie nyumbu wenzio ndio mtaelewana.
 

Dadeq

JF-Expert Member
Nov 14, 2018
272
250
Tatizo lenu mnashikiwa akili. Mnaenda shule lakini ujinga hauwatoki, maskini. Mbona hata wazungu tunawasikia wakisema "garra go now" lakini kimaandishi linaandikwa "got to go now"?. Ama UK wakiongea kama neno lina harufi T kati basi unaweza ukawa usiisikie kabisa T lakini kwenye uandishi T inakuwepo.

Rudi tena shule...
akili sisimizi bichwa tembo. Miguu yako inapata tabu sana kubeba pumba
 

msindikizaji

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,480
2,000
Huu ndio ukweli ulio wazi ...watanzania hasa wanaojiita wasomi asilimia 90 hawawezi kuongea kingereza kabisa hasa mbele za watu hasa graduates...na huu ni ukweli ulio uchi...bado hata kwenye kukiandika kuna matatizo pia japo...ni rahisi hapa kusema fulani hajui kuzungumza kingereza kwakuwa unamuona anavyo hangaika lakini na kuhakikishia ukiitisha mdaharo wa wana jf hawa hawa wa humu ufanyike kwa kingereza tupu....utoamini kama ni hawa wanao lalamika humu...nina kuhakikishia itakuwa ni vituko.
Kuna mtu humu ni mahiri sana wa kuongea kuandika kingereza...lakini kuna sehemu nilimkuta alikuwa ana tetemeka na kigugumizi juu...hahahahaha
Ukweli ni kwamba si kingereza tuu hata Kiswahili kwa watanzania wengi ni tatizo kabisa...
Mdahalo, hutoamini
 

GODZILLA

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
4,500
2,000
Huwezi kupingana na nature na wala huo sio ujinga au kutokujua. Ni asili yake wote wako hivyo mkuu. Ni kawaida sana ilimradi unamuelewa muache tafadhari
Kuna haja ya kufanya overhaul ya mitaala yetu hasa kukazia swala la lugha; Kusoma, kuzungumza na Kuandika!! Watu mbumbumbu kama wewe ni hatari mno!
 
Top Bottom