Hahahaaaaa my dada si rahisi kumpata binti kama unavyodhani hasa kwa mtu kama mie ninayeshinda ndani na nikitoka ni kibaruani then narudi ndani.
Halafu sina hulka ya tongozatongoza kabisaaaa.
Sijui kwanini ninyi wadada huwa mnaona rahisi sn kumpata mwanamke ?ni kwnn labda? Wakati ni kazi kweli kufuatilia,utakuta mtu ha-respond unahangaika weeeeeeee aaarrrgh
Naomba kuungana naye, sio rahisi kwa kweli.Uwe unatoka sehemu zingine tofauti na kazini my kaka...utampata mmoja amazing
Nyie ni rahisi kupata kwasababu mna urahisi wa kumpenda mtu na ukamwambia...lakini jinsia ya kike ni ngumu kufunguka ukipenda
Na kwako pia mkuu.Shukran
Ukawe wa heri kwako Wavy Lord
Hahahaaa. Lol.Nasikia Dodoma walisafiri kwa bus so walikuwa wamechoka na safari ndio mana mliwaotea 😁
Asante, Happy New YearHello people
Kwa niaba ya kila atakayesoma hapa naomba mambo haya
Mwenyezi Mungu akatujaalie afya njema,hekima,mafanikio,moyo wa kupambana bila kukata tamaa,akatupe moyo wa kusamehe na kuachana na visasi,akatujaalie moyo wa upendo na maelewano,akatukumbushe kufanya ibada,chuki na visasi vikakae mbali na mioyo yetu....tunatubu kwa kila baya tulilofanya kwa kujua ama kwa kutokujua AMEN!
Wewe unayepitia magumu kwa sasa usikate tamaa,hili nalo litapita...2023 utakuwa mwaka mzuri kinyamaaa!
Asante Mungu kwa haya maisha 🙏
Mungu ni mwema wakati wote!!
Mimi nawapenda
Cheers to 2023