Happy New Year mkuuHappy New Year wote...
Happy new year in advance to all jf members, na ukawe mwaka wa heri kwa wote, mbarikiwe🙏
Wewe unayepitia magumu kwa sasa usikate tamaa,hili nalo litapita...2022 utakuwa mwaka mzuri kinyamaaa!Hello people
Tumebakiwa na masaa kadhaa tuumalize mwaka 2021,ni muhimu kumshukuru Mungu kwa kila jambo,yapo mengi magumu tumepitia lakini kwa kila jambo ni muhimu kumshukuru Mungu hadi hapa tulipofikia
Kwa niaba ya kila atakayesoma hapa naomba mambo haya
Mwenyezi Mungu akatujaalie afya njema,hekima,mafanikio,moyo wa kupambana bila kukata tamaa,akatupe moyo wa kusamehe na kuachana na visasi,akatujaalie moyo wa upendo na maelewano,akatukumbushe kufanya ibada,chuki na visasi vikakae mbali na mioyo yetu....tunatubu kwa kila baya tulilofanya kwa kujua ama kwa kutokujua AMEN!
Wewe unayepitia magumu kwa sasa usikate tamaa,hili nalo litapita...2022 utakuwa mwaka mzuri kinyamaaa!
Asante Mungu kwa haya maisha
Mungu ni mwema wakati wote!!
Mimi nawapenda
Cheers to 2022


Thank you mkuu, happy new year too, unapendwa pia sanaHappy New Year financial services
Nakupenda 🙃
Amani na upendo vikatawale kwako na kwa familia yako katika huu mwaka 2022.Thank you mkuu, happy new year too, unapendwa pia sana
Amen napokea , na kwako pia huzuni zikae mbali na wewe, yaliyomema tu ndiyo yakapate nafasi.Amani na upendo vikatawale kwako na kwa familia yako katika huu mwaka 2022.
One luv 🌹🙏🏼Amen napokea , na kwako pia huzuni zikae mbali na wewe, yaliyomema tu ndiyo yakapate nafasi.
🥰🥰🥰🥰🥰🥰 happy new year my bosiiiiiii ladyEverything that happened this year happened for a reason, let's take lessons with us and the memories of happy times. God has been so good so wonderful to me and my life in general Shukrani za kipekee kwako Mungu wangu baba yangu mfalme simba wa yuda unaenijua toka moyoni toka rohoni eeh Jehovah!🙏 Asante kwa kutupa afya uzima furaha amani shibe tabasamu na kila aina ya kilichotufanya tuwe hapa wakati huu. In a few hours this year will be ending. May all your sorrows, failures, heartbreak and disappointments end with it. Amen Lee View attachment 2064064
Thank you sweetheart! 2022 ukawe na furaha amani shibe tabasamu na mafanikio tele bosii angu.💋🥰🥰🥰🥰🥰🥰 happy new year my bosiiiiiii lady
Ewaaaaaah na kwako iwe mara kumi zaidiThank you sweetheart! 2022 ukawe na furaha amani shibe tabasamu na mafanikio tele bosii ake.💋
Amina Amina.. webale nyo ba wange!Ewaaaaaah na kwako iwe mara kumi zaidi